Jinsi timu za ulaya zinavyotumia fursa ya masoko

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
15,206
20,190
Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli.

Leo Ac Milan imechapisha jezi alizovaa Oliver Girloud Kama kipa na kuziuza kwa mafanikio makubwa. Huu ndio umuhimu wa kuwa na kitengo cha Masoko chenye wataalamu waliobobea.
 
Back
Top Bottom