Anahitajika Afisa Masoko

drndasika

Member
Oct 14, 2010
58
28
Habari ndugu,

Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam.

Vitu muhimu;
  • Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k
  • Awe na umri miaka 20-25
  • Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
 
Ushauri.
Ondoa kigezo Ch eneo sbb unawez kuw na weny sifa kibao lkn sio eneo Hilo ulotaja Ila wameon tangazo. Dar ni Kanda moja
 
Ushauri.
Ondoa kigezo Ch eneo sbb unawez kuw na weny sifa kibao lkn sio eneo Hilo ulotaja Ila wameon tangazo. Dar ni Kanda moja
Anataka wa katibu kwa sababu mshahara ni 150k
Nayo ni pale utakapofikia target
Hivyo ni vyema ukawa katibu ili uwe unaenda kula nyumbani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom