Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,716
36,188
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
 
Unauliza swali lenye jibu tayari? Hivi kuna mtu anayejua kuwa una akili timamu, halafu akuuzie bidhaa feki?
 
Tatizo ni Watanzania wenzetu maana kule wachina wanakuuzia unachotaka ukitaka chenye ubora kina bei yake na famba kina bei yake sasa hawa ndugu zetu wanaokwenda kufuata bidhaa wanapenda utajiri wa haraka haraka na sie wanunuzi pia ni tatizo kwa sababu tunapenda vitu vizuri kwa bei rahisi matokeo yake tunapigwa.
 
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
Inasikitisha..
Kuliwahi kuwa na mayai bandia yanayotengenezwa kwa kemikali, na pia mchele bandia, yote kutoka kwa Wachina
 
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.
Wanatuona aNyani tu
 
Back
Top Bottom