masoko

Kilwa Masoko is a port town on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. Kilwa Masoko is the current major town of Kilwa District and includes all the hotels in the area as well as a bustling market, beautiful beaches, small fishing communities and is the gateway to the ruins of Kilwa Kisiwani. On nearby Kilwa Kisiwani island there are ancient Swahili ruins which were declared a UNESCO World Heritage Site in 1981.
The hotels in Masoko are spread along the coastline but there is a group close to town on JImbiza beach and the newer hotels are on the beautiful Masoko Pwani.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bei za vyakula kwenye masoko ya Dar es salaam July - August 2022

    Hali ya Mfumuko wa Bei ya bidhaa muhimu ikiwemo chakula kwa jiji la Dar es salaam imezidi kupanda kwa kasi licha ya maeneo mengi nchini kuwa kwenye msimu wa mavuno. Hapa chini ni bei za mazao ya chakula kwenye masoko ya jiji la Dar es salaam kwa kipindi cha mwenzi mmoja kuanzia Julai hadi...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania TFDA ni muda sasa wa kuingia na kukagua bidhaa katika masoko ya vyakula

    Mamlaka zetu nyingi zimekuwa zikifanya kazi katika mfumo ule ule wa zamani tofauti na hali halisi ya sasa. Kwenye masoko ya vyakula hali ni hatari mno maana wananchi wengi wanalishwa sumu bila kujua,na lengo la mfanyabiasha ni kupata pesa bila kujali anaenda kumuumiza mlaji. Juzi kuna Mama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo na Masoko ya mkonge

    UTANGULIZI… -Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao mengine hayawezi kustawi. MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO -Mwaka 2019 Serikali ilitangaza zao la mkonge...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Makalla atembelelea Masoko ya Simu 2000 na Mahakama ya ndizi Mabibo

    *RC MAKALLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AAGIZA MABORESHO YA KWANZA SOKO LA SIMU 2000 NA SOKO LA MABIBO - Asema hoja Za Wafanyabiashara zina uzito hivyo waboreshewe kwanza kisha kamati ya soko Na serikali wakae kupendekeza vibanda uniform rafiki kwa wafanyabiashara. - Wafanyabiashara wapongeza...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Alaaniwe mtu anayepanga na kuchoma masoko DSM

    Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu. Hawa niwavuja jasho masikini wanahangaika kupata mehemeo ya watoto wao masikini hawana pakwenda leo kila siku wanachomewa masoko na kutunga story hazina kichwa why for 6 years back huu ujinga haukuwepo. Mbona pale Kisutu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

    Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

    Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
  9. M

    JamiiForums Tanzania Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  10. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nzi kibiashara: Mbinu, changamoto na masoko yake

    Acheni hizo vijana ningekuwa live ningeweka chitchat? Si kunajukwaaa la uvuvi kule
  11. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Vunjajungu (pamoja na wadudu wengine) na masoko yake

    Jumapili njema. Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama. Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la...
  12. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mbinu za Kibiashara bado ni tatizo kwa Wakulima kufikia masoko Nchini

    WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa kuyafikia masoko na kupelekea kukosekana kwa uhakika wa uendelevu wa biashara za mazao ya kilimo kwa...
  13. Mr mussa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya mauzo au masoko kwa malipo ya commission

    Habari! Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kuungua masoko: Kukithiri usimamizi mbaya wa Halmashauri zetu

    Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu. Masoko yanaungua kila leo. Soko Kuu Kariakoo Soko la Karume Soko la Mbagala Soko la Moshi Soko la Geita Soko/Mall ya Mwanza Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu. Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile. Uchafu wa wiki iliyopita bado...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa Masoko Kuungua ni Sahihi kuwa Bado hatujapata Suluhisho?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko na kasi isiyokawaida ya Kuungua kwa Masoko Nchini hasa Nyakati za Usiku Jambo linalozua Maswali mengi zaidi. Sio kwamba kama Nchi ndio tumeanza kupata kuyaona Majanga haya kwa Mara ya Kwanza hapana, yamekwisha kutokea huko Nyuma lakini mtindo ndio...
  16. Mayunga234

    JamiiForums Tanzania Masoko kuungua Moto hiyo ni Mipango tu

    Mambo ya kuungua kwa masoko mara kwa mara Maeneo tofauti tofauti nchini Hiyo yote naona ni Technique ya kutaka kuboreshewa masoko hayo na sio vinginevyo Hili watengenezewe soko la kisasa zaidi
  17. Erick_Otieno

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu salamu, Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji. Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe Masoko yote makubwa yaliyoungua Tanzania yawezekana sababu ya Kuungua kwa la Karume ikawa ni sababu ya Jumla?

    "Sababu ya Kuungua Moto Soko la Karume juzi ni Wale Mateja waliopo katika vile Vibanda kupenda Kulanduka kwa Mihadarati kama Bangi kila mara Vizimbani hasa hasa nyakati za Usiku" Mdau Bwana Tito. Taarifa hii ipo katika Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa ITV na Radio One Dada yangu Farhia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam hii itambatana na kuwajenga majengo makubwa yenye frame Kwa ajili ya biashara! Wamachinga wawe sehemu ya kusaidia Kodi pia.. Kuwafukuza Ingechukua muda mrefu sana.. hii itakuwa interval ya miezi 6 miaka...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa Kuungua Masoko huwa hayawekwi wazi?

    Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo. Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi. Ukimya wa serikali unasababishwa...
Back
Top Bottom