marekani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani wanapata wapi vibali vya kuwakemea wengine?

    Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal. Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima maandamnao haya ni nyepesi kuliko nchi nyingine wanaotoa sababu za kuzuia maandamano kama haya.
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Waaukumbi. American colleges and universities involved in the Palestinian protests: - Yale University University of Texas Columbia University Massachusetts Institute of Technology University of Minnesota University of California, Berkeley University of Pittsburgh University of Rochester in...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Biden asaini Sheria itakayoifungia TikTok kama haitamilikiwa Marekani

    Biden signs Israel, Ukraine, TikTok bill into law President Joe Biden signed into law measures to provide aid to Israel, Ukraine and Taiwan, as well as force the divestiture of social media platform TikTok from its Chinese parent company ByteDance or face a national ban. TikTok has vowed to...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa likimiliki mzigo mkubwa wa silaha za nyuklia na nyinginezo nzito, ilikuwa taifa la tatu duniani kwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa faida za kuwa na GREEN CARD ya Marekani

    Wana familia wa JF, Humu ndani naamini wapo Watanzania ambao wanaishi Marekani kwa nguvu ya GREEN CARD. Kwa faida ya wengi, naomba yeyote anayejua au amefanikiwa kuwa na Green Card ya Marekani ni kwa namna gani imemsaidia kuishi huko USA na kwa namna gani imemsaidia kupata kazi nzuri na kuweza...
  7. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Rais Biden kuwafungia sola kaya 900,000 masikini nchini Marekani

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini. Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani inaendelea kuilenga kampuni ya TikTok, TikTok inaendelea kuwa maarufu barani Afrika

    Katika siku za karibuni Marekani imeendelea na mpango wake wa kuishambulia China na makampuni yake, baada ya wabunge na ikulu ya Marekani kusema wana wasiwasi kuwa kampuni inayomiliki App ya TikTok inahatarisha usalama wa Marekani na inaweza kutumiwa kufanya ushawishi kwenye uchaguzi wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Dunia nzima imegawanyika hivyo. Wapo wanaozipenda ama kuzichukia Israel na Marekani. Wewe binafsi nini kinakuongoza kwenye kuzichukia ama kuzipenda nchi hizo mbili??
  11. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya Israel vinavyowekwa na Marekani vinatuma ujumbe gani kwa mashabiki wa vita ya Gaza?

    Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lapitisha muswada wa kuifungia TikTok

    Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi yake kwa kampuni ya Marekani ili kuepuka marufuku. Mswada huo sasa umehamia kwenye Seneti, ambako...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Baada ya mkwamo wa muda mrefu uliochangiwa na baadhi ya wabunge wa Marekani wenye mahaba na Putin hatimaye bunge la Marekani limepitisha kifurushi kipya cha $billion 60 kwa vita vya Ukraine. Msaada huu mpya kwa Ukraine unajiri baada ya mwaka mmoja na nusu tangu bunge lililokuwa likiongozwa na...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yazidi kubembeleza ili ibaki Niger

    Watawala wapya wa Niger wamefuta mahusiano na taifa la Ufaransa ambalo ndilo lilikuwa mkoloni wao. Ufaransa baada ya kusita sita hatimae ilishindwa hoja na ikaamua kuongoka. Marekani nayo imetakiwa ifanye kama hivyo lakini imekuwa king'anng'anizi ikidai kuwa inalinda maeneo ya jangwa la Sahel...
  18. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Operation NORTHWOOD: CIA kufanya ugaidi ndani ya Marekani

    Operation Northwood Ni false flag operation ya kijeshi iliyopangwa na wizara ya ulinzi ya marekani kwa kushirikiana na CIA mwaka 1962 kipindi cha Vita baridi ili kupata sababu ya kuivamia kijeshi nchi ya cuba. Lengo kuu la operation Hii ilkua kutengeneza mfulurizo wa matukio ya mashambulizi ya...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Marekani inavyojimaliza yenyewe,na haizuiliki kwani si mipango yake tena

    Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia. Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa na malengo mapana ya kuzipindua na kuzitawala nchi kadhaa na nyingi zao ni za waislamu. Hakuna hata...
Back
Top Bottom