Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,194
- 10,929
Mpinzani mkubwa wa waziri mkuu wa Israel Beny Gantz ameondoka Israel ghafla na bila ruhusua ya Netanyahu kwenda Marekani kukutana na viongozi wa nchi hiyo kuzungumzia vita kati ya nchi yao na Hamas wa Palestina.
Safari hiyo imemuudhi sana Netanyahu kwani alimtaka asiende huko na akaondoka kwa kukaidi amri yake.
Wiki chache zilizopita waziri mwengine wa baraza hilo ambaye mtoto wake ni miongoni mwa askari waliouliwa vitani na Hamas alitoa maneno makali dhidi ya Netanyahu na kutishia kujiondoa kwenye baraza hilo.
Gantz ni kiongozi mpinzani wa asili wa Netanyahu ambaye alikubali kujiunga kwenye baraza hilo kwa tamaa vita vingeisha mapema.