M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe!

Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court.

Kifupi nchi za Africa na Waafrica wenyewe wamelala fofo hawaelewi kinachoendelea na kama wapo wanaoelewa bas kamwe hawatapata nafasi katika serikali wala kufanya maamuzi.

“Ni sawa na mtoto mchanga anaona mambo ya giza lakin hana uwezo wa kusema wala kuzuia lakini mtu mzima Haoni hivo hawezi pambana na asichokiona.”

Private military au Majeshi binafsi yameanza kipindi cha vita baridi na taaratibu yameshika kasi tangu hapo. Miaka ya 2000 katika vita ya Iraq ndipo kushamili na majeshi mashuhuli hapa ni kama PCM na Black water. Yapo mengi kutoka British pia

Nje za nchi za magharibi Russia ime make headline kubwa na kundi lake la Wagner huku likiwa na mchango katika ku annex crimea na katika vita ya Ukraine.

Pia katika mapinduzi mbalimbali katika nchi za Africa kama Mali,bukinafaso, Africa ya kati na kadharika

KWANINI PRIVATE ARMY
  • Kuepuka nchi kutuhumiwa na sheria za kivita
  • Kuweza kutofautisha kati ya msimamo wa nchi na serikali
  • Kukimbia uwajibikaji katika madhambi yanayofanywa na majeshi haya
  • Kuficha uwepo wa serikali fulani ya nchi katika migogoro ya vita

M23 Ni kundi linalopigana na DRC. Kwa haraka haraka Utaona jinsi hii project inavoratibiwa hutasikia Nchi zinazohusika zikishutumiwa hata zikishutumiwa inakua ni unafiki kupooza soo! Madai fake yanayotengenezwa kama justification kuua watu zaidi.

Ukweli nchi za maziwa makuu zinaelewa fika Jeshi hili private linamilikiwa na nani? Hivo nyingi zinajiepusha hata kama zinajua Adui anawatafuna taratibu

Nchi za magharibi zinatumia jeshi private au binafsi ili kuepusha mambo kadhaa;
  • Upinzani kutoka kwa waafrica (wangeweka majeshi yake waafrica wangeweza kuungana kupambana)
  • Kutengeneza Image kwa Dunia kusema ni vita ya wenyewe kwa wenyewe (Jiulize hao watu wameishi wenyewe kwa zaidi ya miaka 400 wapigane leo, inaingia akilini?).
  • UN inatumika kuendelea kufanya mgogoro usiishe
  • Vyombo vyao vya ICJ, human right na media zinatumika kufubaza taarifa zisitoke na kuwachanganya waafrica wasifahamu kama nyumba inaungua wao wapo wanacheza mziki wa mzungu!!
Ni kama uko baa unakata kiuno na umelewa bia na nyumba yako inaungua hata ukiambiwa akili yako haifanyi kazi muda huo ila wewe unaimba amapiano tu.
- Watu wakiangalia mgogoro huu wanaona DRC na m23 lakini si kweli ni DRC vs Western mercenary. Kilichotokea Ethiopia kina reflect kinachotokea hapa Congo. Nani angeweza dhan jeshi la Tigray nusura liangushe jeshi la Ethiopia na Eritrea pamoja? Ni wenyewe hapana.

Ni pombe itapoisha ndipo utajua huna hata kwa kwenda nyumba ilishaisha,vitu vyote hamna tena, familia yako imefia huko naww umebaki mkimbizi!

Uhalisia uliopo Congo hata Hitler asingeweza kufanya hivo wala King leopard wa Congo hafiki.

“Wakati kwene Vita ya pili ya dunia shetani alituma Majeshi yake kuangamiza ila CONGO SHETANI AMESHUKA KABISA.“
 
Na ndio hawa hawa waliotunga hizo sheria za Kimataifa hata katika uwanja wa Vita inapangwa vita ipiganwe vipi, adui aadhibiwe vipi.

Ni ajabu sana wahuni/magaidi wanaoharibu mali za watu na kupoteza maisha ya raia wasio na hatia, wahuni hawa ama magaidi wanalindwa na sheria za umoja wa mataifa kuwa washambuliwe kwa namna ipi au wasipigwe vipi yaani watetezi wa haki feki za binadamu wako tayari hata kuwalinda hao magaidi na majambazi wahukumiwe vipi, bila kujali wao wameua raia kiasi gani.

Sheria za vita zimeundwa ili kuyalinda haya makundi haramu yanaoongozwa na wazungu,warusi&waarabu ili kuzorotesha juhudi za kuyaangamiza haya makundi.

Ni ajabu nchi ambazo zina idadi kubwa ya wanajeshi, dhana bora za kivita na mbinu nyingi lakini zinashindwa kutokomeza vijikundi vya wanamgambo wenye mafunzo dhaifu ya kivita na idadi ndogo, ni aibu na Propaganda zinazushwa.

Huko ktk nchi zenye migogoro na vita utaona magaidi wakifanya mashambulizi ya kutisha, lkn majeshi yetu yanapangiwa nini cha kumfanya adui na nini cha kutofanya, jambo ambalo linafanya watu wenye akili timamu wahoji hivi hawa wazungu nao kwao huwa wanawalinda sana hawa magaidi na majambazi? Jibu ambalo si kweli, gaidi huko USA,China, Russia, UK, German, France ama nchi za wazungu, ugaidi unapotokea hutokomezwa haraka sana, ikiwezekana hutokomeza mpaka mizizi ya huo ugaidi na vitisho vyake, lkn inapokuja Afrika na baadhi ya nchi za Asia, ugaidi unalindwa sana na huo Umoja wa mataifa, hapa ndipo nagundua haya mambo ni projects za watu zinazowanufaisha sana.

Afrika haiwezi kuendelea mpaka tutakapo kataa sheria walizotutungia wazungu, mifumo yao ya uongozi na itikadi zao zote za kishenzi, bila kufanya mageuzi makubwa tutaendelea kunyanyaswa ktk ardhi zetu wenyewe na vizazi vijavyo vitatulaumu sana na kutuweka ktk historia ya wajinga na wapumbavu kama akina mangungo na wapuuzi wengine.
 
1709704571059.png
 
Hadi ivi sasa utofauti wetu na kina mangungo ni kwamba tunatambua tunachezewa lakini hatuna la kufanya.
Kufupisha sisi ni zaidi ya kina mangungo.
 
Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe!

Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court.

Kifupi nchi za Africa na Waafrica wenyewe wamelala fofo hawaelewi kinachoendelea na kama wapo wanaoelewa bas kamwe hawatapata nafasi katika serikali wala kufanya maamuzi.

“Ni sawa na mtoto mchanga anaona mambo ya giza lakin hana uwezo wa kusema wala kuzuia lakini mtu mzima Haoni hivo hawezi pambana na asichokiona.”

Private military au Majeshi binafsi yameanza kipindi cha vita baridi na taaratibu yameshika kasi tangu hapo. Miaka ya 2000 katika vita ya Iraq ndipo kushamili na majeshi mashuhuli hapa ni kama PCM na Black water. Yapo mengi kutoka British pia

Nje za nchi za magharibi Russia ime make headline kubwa na kundi lake la Wagner huku likiwa na mchango katika ku annex crimea na katika vita ya Ukraine.

Pia katika mapinduzi mbalimbali katika nchi za Africa kama Mali,bukinafaso, Africa ya kati na kadharika

KWANINI PRIVATE ARMY
  • Kuepuka nchi kutuhumiwa na sheria za kivita
  • Kuweza kutofautisha kati ya msimamo wa nchi na serikali
  • Kukimbia uwajibikaji katika madhambi yanayofanywa na majeshi haya
  • Kuficha uwepo wa serikali fulani ya nchi katika migogoro ya vita

M23 Ni kundi linalopigana na DRC. Kwa haraka haraka Utaona jinsi hii project inavoratibiwa hutasikia Nchi zinazohusika zikishutumiwa hata zikishutumiwa inakua ni unafiki kupooza soo! Madai fake yanayotengenezwa kama justification kuua watu zaidi.

Ukweli nchi za maziwa makuu zinaelewa fika Jeshi hili private linamilikiwa na nani? Hivo nyingi zinajiepusha hata kama zinajua Adui anawatafuna taratibu

Nchi za magharibi zinatumia jeshi private au binafsi ili kuepusha mambo kadhaa;
  • Upinzani kutoka kwa waafrica (wangeweka majeshi yake waafrica wangeweza kuungana kupambana)
  • Kutengeneza Image kwa Dunia kusema ni vita ya wenyewe kwa wenyewe (Jiulize hao watu wameishi wenyewe kwa zaidi ya miaka 400 wapigane leo, inaingia akilini?).
  • UN inatumika kuendelea kufanya mgogoro usiishe
  • Vyombo vyao vya ICJ, human right na media zinatumika kufubaza taarifa zisitoke na kuwachanganya waafrica wasifahamu kama nyumba inaungua wao wapo wanacheza mziki wa mzungu!!
Ni kama uko baa unakata kiuno na umelewa bia na nyumba yako inaungua hata ukiambiwa akili yako haifanyi kazi muda huo ila wewe unaimba amapiano tu.
- Watu wakiangalia mgogoro huu wanaona DRC na m23 lakini si kweli ni DRC vs Western mercenary. Kilichotokea Ethiopia kina reflect kinachotokea hapa Congo. Nani angeweza dhan jeshi la Tigray nusura liangushe jeshi la Ethiopia na Eritrea pamoja? Ni wenyewe hapana.

Ni pombe itapoisha ndipo utajua huna hata kwa kwenda nyumba ilishaisha,vitu vyote hamna tena, familia yako imefia huko naww umebaki mkimbizi!

Uhalisia uliopo Congo hata Hitler asingeweza kufanya hivo wala King leopard wa Congo hafiki.

“Wakati kwene Vita ya pili ya dunia shetani alituma Majeshi yake kuangamiza ila CONGO SHETANI AMESHUKA KABISA.“
Kweli kabisa. Hawa wamagharibi wanaongoza kwa kupindisha sheria au kuziunda na kuzitafsiri sheria kwa maslahi yao.
Hawa mercenaries au askari wa kukodiwa walikua ni haramu kutumika na nchi katika vita na nchi nyingine na wanakua hawana haki za askari mateka wa vita.
Lakini wamekuja na msemo wa kuwa hawa ni security contractors ili kutuhadaa mambumbumbu sie ili waendeshe udhalimu wao bila kuonekana kua ni madhalimu

Angola ilikua inawahumu kifo askari wote wa kukodiwa walio kua vitani nchini humo kutoka nchi za magharibi na makaburu
 
Hadi ivi sasa utofauti wetu na kina mangungo ni kwamba tunatambua tunachezewa lakini hatuna la kufanya.
Kufupisha sisi ni zaidi ya kina mangungo.
Cha kufanya kipo, weka nationalists madarakani, weka wazalendo waliopitiliza, wale extreme
Nchi yoyote huwa haikaukiwi aina hii ya watu, ubaya ni kwamba madaraka hayakabidhiwi, yanachukuliwa kwa nguvu
Na kusubiri umma ukusaidie utasubiri mpaka kifo

Hizo nchi za ulaya ukichunguza kwa makini, zimetuzidi vitu viwili tu

1. Industrial Power
2. Military power (hii ni extension ya industrial Power)

Nchi haiwezi kuendelea bila kuwa na kimoja kati ya hiko, si tunadanganyana KILIMO ndo uti mgongo wa taifa

Una Export korosho wenzako wana Export Trains halafu unategemea GDP zitakua sawa?
 
Kweli kabisa. Hawa wamagharibi wanaongoza kwa kupindisha sheria au kuziunda na kuzitafsiri sheria kwa maslahi yao.
Hawa mercenaries au askari wa kukodiwa walikua ni haramu kutumika na nchi katika vita na nchi nyingine na wanakua hawana haki za askari mateka wa vita.
Lakini wamekuja na msemo wa kuwa hawa ni security contractors ili kutuhadaa mambumbumbu sie ili waendeshe udhalimu wao bila kuonekana kua ni madhalimu

Angola ilikua inawahumu kifo askari wote wa kukodiwa walio kua vitani nchini humo kutoka nchi za magharibi na makaburu
Hao Wamagharibi ni wanafiki tu, sio watu wa kuamini chochote wanachosema au watakachosema
Ni savages
 
Cha kufanya kipo, weka nationalists madarakani, weka wazalendo waliopitiliza, wale extreme
Nchi yoyote huwa haikaukiwi aina hii ya watu, ubaya ni kwamba madaraka hayakabidhiwi, yanachukuliwa kwa nguvu
Na kusubiri umma ukusaidie utasubiri mpaka kifo

Hizo nchi za ulaya ukichunguza kwa makini, zimetuzidi vitu viwili tu

1. Industrial Power
2. Military power (hii ni extension ya industrial Power)

Nchi haiwezi kuendelea bila kuwa na kimoja kati ya hiko, si tunadanganyana KILIMO ndo uti mgongo wa taifa

Una Export korosho wenzako wana Export Trains halafu unategemea GDP zitakua sawa?
Wote hatuwezi kuzalisha kitu kimoja (industrial products) wakati ukanda wetu natural unatufeva kwa kilimo,mifugo,madini na mazao ya majini,pakiwa na usawa wa uuzwaji wa rasilimali zetu.

Nakupa mfano mdgo tuu sisi tunapokea saa (iwe ubora mdgo,imetumika etc) na kwa bei wanayotaka wao.

Ikija upande wetu wanachagua bidhaa bora na nyingi kwa jinsi wanavyotaka wao,hawajali mkulima wao wanajiangalia wao.

Nikimaanisha hakuna usawa au uwiano wa pesa za kuweza kumnufaisha muafrika.
 
Kuna shairi moja niliwahi kulisoma sekondari, nafkiri lipo ktk wasakatonge au malenga wapya, shairi linaitwa AFRIKA.

Afrika ni kama tuna laana fulani zimetukalia.
 
Wote hatuwezi kuzalisha kitu kimoja (industrial products) wakati ukanda wetu natural unatufeva kwa kilimo,mifugo,madini na mazao ya majini,pakiwa na usawa wa uuzwaji wa rasilimali zetu.

Nakupa mfano mdgo tuu sisi tunapokea saa (iwe ubora mdgo,imetumika etc) na kwa bei wanayotaka wao.

Ikija upande wetu wanachagua bidhaa bora na nyingi kwa jinsi wanavyotaka wao,hawajali mkulima wao wanajiangalia wao.

Nikimaanisha hakuna usawa au uwiano wa pesa za kuweza kumnufaisha muafrika.
Hakuna usawa cause wao wana unda high value products wakati sisi tumebaki na low value products

Saa ni high end product ukilinganisha na karanga, haijalishi karanga ni muhimu kiasi gani kwenye mwili wako

Kwenye hii dunia tunayoishi, kwenye hizi zama za Utandawazi na Ubepari, bila kufanya mapinduzi ya viwanda hatuwezi kufika walipo

Idea kuwa hatuwezi kuunda hizo products wakati wao wanafanya ni Big No, hakuna kitu kama hiko

Nchi yoyote inabidi iwe self sufficient, huwezi kidhii mahitaji ya watu milioni 60 wanaoongezeka kila mwaka bila viwanda, watu hawataki chakula tu, wanataka madawa, magari, simu, laptop, internet, ulinzi, nguo etc

Vyote vinahitaji industrial power kuvizalisha, sisi hatuna hio nguvu ndo maana tunalazimika ku Export nje kwa bei kubwa kuliko tunacho Export sisi

Hesabu za uchumi wa nchi ni za shule ya msingi, sio za chuo

JUMLISHA vyote ulivyo export kwa mwaka GAWA na idadi ya raia wako, unachopata ni GDP

Kama una Export low value products kama mahindi, pamba au utalii, utaishia kuwa pale pale ulipo kama kusogea basi 1% au 1.5% huwezi toka nje ya hio loop
 
Jamani jamani mbona mataifa yanayoongoza kwa kuuza mazao ni mataifa yaliyoendelea na yanapata pato kubwa kutokana na kilimo i.e Russia
Ila ukishakua n Africa basii bidhaa inakua ni duni na haina umuhimu.
 
Mr Chromium

Uko sahihi kabisa kwa maelezo yako na yawezekana kabisa kuwa nchi inolaumiwa kuwalinda hawa jamaa ndo kwenye medani za kijasusi yaitwa "handler".

Nilileta uchambuzi kuhusu hilo la M23 na kuna sehemu niliongelea aina za silaha mpya na za kisasa na mbinu zao za kivita.

Jambo hili si geni maana hata pale Sudan pana vita kati ya jeshi na RSF chini ya Mohamed Hamdan Dagalo. Hawa RSF wana silaha na vifaa vya kisasa kabisa ambavyo baadhi ya majeshi ya nchi kadhaa Afrika hawana.

Hivyo nakuunga mkono kabisa kwa kweza kung'amua hili.

Ndo maana tukizungumzia siasa za kijiografia twapaswa kuwa makini sana kwani ni jambo muhimu linogusa kabisa bara la Afrika.
 
Back
Top Bottom