Marekani, Irani na Urusi wafanya mazoezi ya pamoja ya majeshi ya baharini

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,103
Sisi mashabiki tunadhani wenzetu wanawaza kupigana tu, kumbe sometimes wanakaa pamoja na kufanya vitu pamoja.

Mwezi february mwaka huu majeshi ya marekani, urusi na Iran yalifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya hindi. Mazoezi hayo yalikuwa hosted na India.

Unaweza kupata taarifa hizo katika gazeti la Jerusalem Post la Israel.

Hapa: The US, Iran, and Russia cooperate in a joint naval exercise in India
 
Mabepari hasa Marekani hana adui wa kudumu. Linapokuja suala la maslahi fulani haoni shida kuungana na adui yake.

Katika hali ya kawaida, je, unaweza kuwa unashirikiana na adui yako kiroho safi tu tena umejiachia, au ndio kushirikiana kwa tahadhari!

Namaanisha hapo kila chi ipo macho kwa mwenzake mana ukizubaa imekula kwako. Na tena unaweza kuta Marekani akawa yupo nyuma nyuma kama hajui lolote ili ajifunze mbinu za wenzake!

Na hapo Iran naye akawa anatoa mbinu dhaifu ili aonekane hajui chochote, mwisho wa siku mazoezi yanaisha, kila nchi inaanza kumchambua mwenzake kuhusu mazoezi waliyofanya.
 
Hata hivyo, picha iko wapi?!!


Kuna siku tutasikia au kuona Israel na Palestina nao wanaendelea na mazoezi yao ya pamoja
 
Back
Top Bottom