marekani

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli za kivita za Marekani zaingia kwenye 18 za Hizbullah, Askari watano waangamia

    Sayyed Hassan Nasrala katika hotuba yake wiki iliyopita aliionya Marekani kutokana na uungaji wake mkono maafa kwa wapalestina akiiambia kuwa tayari wana kitu mkononi kwa meli zake za kivita zilizotia nanga karibu na nchi hiyo. Kitu hicho kizito inaaminika ni aina ya makombora mazito ya...
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Israel - Marekani: Ipi siri ya uhusiano wao usiochuja?

    Siku chache tu baada ya shambulio la Hamas tarehe 7 Oktoba, Rais wa Marekani Joe Biden alifika Tel Aviv na kueleza mshikamano wa Marekani na Israel. Aliwaita Hamas ni 'mashetani' na kusema Marekani iko pamoja na Israel katika kila hali na itapata kila msaada. Mwanzoni mwa mwezi Novemba, Bunge...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inanufaikaje na misaada inayoipatia nchi maskini?

    Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika! Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba. Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada. Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Marekani kuiondoa China kwenye sekta ya madini barani Afrika ni hatari kwa maendeleo ya Afrika

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani, hasa kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za madini adimu zinazotumika kwenye sekta za utengenezaji wa magari yanayotumia umeme na vifaa mbalimbali vya kuvuna nishati ya jua. Afrika, bara lenye utajiri mkubwa wa madini hayo limerudi tena...
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kishindo kikubwa Houston Marekani

    Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote. Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel wana mpango wa kujenga Ben Gurion canal eneo la Gaza kuipiku Suez Canal

    Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa. Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani zatoa tahadhari mpya ya usalama kuhusu Uganda

    Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa Marekani nao kutoa angalizo linalofanana na hilo. Balozi hizo pia zimewapa angalizo raia wake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa za mafuta supertankers zaelekea marekani kuchukua mafuta

    Mzuka wanajamvi, Baada ya Opec ikiongozwa na kushinikizwa na Russia na Saudi Arabia kupunguza uzalishaji wa mafuta ili bei ipande. Upepo umebadilika. Sasa hivi Marekani wameamua kuachia mafuta yao kuyauza kwa wingi kwenye soko la dunia. Meli kubwa za mafuta 48 supertankers ziko njiani baharini...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya hadaa ya Marekani yawekwa wazi. Netanyahu atoa ushahidi

    Tofauti na waungaji mkono wa Palestina kwamba wametulia kwenye nchi zao,waziri wa nchi wa Marekani amekuwa hatulii nchini kwake tangu shambulio la Hamas la oktoba 7. Safari ya mwanzo aliyoifanya Israel na kulia hadharani ndiyo iliyomjulisha yeye ni nani na kipia ataendelea kukifanya. Kiongozi...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vifaru vya Merkava vimeshindwa kazi.Vile vya Abrams vya Marekani vyaingia mzigoni Gaza

    Wale wapenzi wachache wa Israel wameona matokeo yasiyopendeza katika jeshi la Israel.Walitaraji baada ya siku mbili kuingia Gaza,kajioneo kadogo tu wangeona vikosi vya IDF vikiwa vimebeba mateka mabegani na kupiga nao picha ili kuwarudisha Israel na wale wa mataifa ya nje kupakiwa kwenye ndege...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

    Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia. Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
  14. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Pentagon kuja na Bomu la Nyukilia lenye nguvu mara 24 zaidi ya lile la Hiroshima, Japan

    Idara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuja na bomu jipya la nyuklia, B61-13, ambalo litakuwa na nguvu mara 24 zaidi ya lile lililoangushwa huko Hiroshima wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1945. Bomu hilo jipya la nguvu ya nyuklia la B61-13 lililopendekezwa na Marekani litabebwa na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza

    Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza Oct 29, 2023 03:00 UTC Jarida la Marekani linalohusika na masuala ya kijeshi limefichua kuwa vikosi maalumu vya nchi hiyo vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza. Kwa...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kwa vita ya Hamas na Israel, Marekani na Umoja wa Mataifa zishtakiwe

    Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina. Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mara kwa mara kati ya China na Marekani yatoa ishara chanya

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi atafanya ziara nchini Marekani kuanzia tarehe 26 hadi 28 mwezi huu. Kabla ya hapo, tangu mwezi Juni mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen, Mjumbe...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Marekani: Watu 22 wauawa, zaidi ya 50 wajeruhiwa katika mashambulizi ya risasi

    Mashambulizi ya risasi yaliyotokea maeneo tofauti katika Kitongoji cha Lewiston kwenye Mji wa Maine yamesababisha watu 22 kuuawa na wengine kati ya 50 hadi 60 kujeruhiwa. Polisi wa Lewiston wamesema wanamshuku mhusika mkuu katika tukio hilo ni Robert Card (40) na kuwa ni mtu hatari ambapo...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye waarabu wa Sudan wakubali kuacha kuchinjana na kupatanishwa na Marekani

    Wamekubali kupatanishwa na yule wanayependa kumuita "kafir"......... The Sudanese army said Wednesday it has accepted an invitation to resume US- and Saudi-brokered talks aimed at ending more than six months of conflict with the paramilitary Rapid Support Forces. The war between forces loyal...
Back
Top Bottom