Yemen chini ya Houth yataja mikakati yake ya kupigana na Marekani kwa muda mrefu

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,922
Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan.

Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina.

Mikakati iliyotajwa na mmoja wa makamanda wakuu wa Houth ni pamoja na kuimarisha ngome zao ndani ya milima inayotazamana na baharai nyengine ambamo tangu hapo silaha hata nyuklia ni shida kupenya.

Mkatati mwengine ni kuanza kutumia nyambizi zake ambazo jeshi la Marekani bado haijakuwa na silaha ya kupambana na vifaa hivyo.

Wiki hii wanamgambo hao wamekuwa na harakati kubwa za kutoa mafunzo kwa askari wapya wasiopungua laki moja na khamsini elfu

Unmanned Houthi submarines pose new threat to US warships in Red Sea

ukute unaingia msikitini au kanisani hlf hiki ndo unatoka nacho
Sasa kwani uongo hao Israel na marekani kufilhlana kwao sio ruksa,, si bora hata hao houthi unaowasema vibaya kisa wanaishi kwenye majabali kwa mujibu wako wewe, japo chuki yako ipo sababu wanashashambulia meli za magaidi wa kiamerika na mashost zake,,
 
Kukaa kwenye mapango kama ndezi kunawafanya kukosa akili
Mapango wamepewa na Mungu wawaangushe Marekani na Israel ambao ni maadui wa ulimwengu.
Milima ya Afghanistan ilichangia sana kuwabana Marekani mpaka wakaondoka.Wakipiga huku jamaa wanajificha kule kwa miaka 20 mpaka Marekani akakimbia.
Milima na mapango ya Yemen yanayoangalia njia kubwa za meli ndio itakuwa dawa ya wenye kiburi katika dunia.
Matunda yameanza kujitokeza
 
ulaji wa mirungi yemeni na kuvuta shisha huku wakitoa kauli ndio unawaponza
Vyovyote itakavyokuwa watakuwa dawa za wengine wapuuzi kuliko wao.
Umesikia kauli za Netanyahu kuhusu Gaza na Ukingo wa magharibi.Nani anatoa kauli mbaya kuliko mwengine.
Mayahudi wanakulana wanaume kwa wanaume halafu wanatoa kauli mbaya.
 
Sinking ship hit by Houthi missile leaves 18-mile oil slick in Red Sea, US officials say

1708751115539.png
 
Sasa kwani uongo hao Israel na marekani kufilhlana kwao sio ruksa,, si bora hata hao houthi unaowasema vibaya kisa wanaishi kwenye majabali kwa mujibu wako wewe, japo chuki yako ipo sababu wanashashambulia meli za magaidi wa kiamerika na mashost zake,,
penda kufuatilia ujue wayemen wangap wanaishi uhamishoni kisa hao houth , jiulize maisha yapoje ndan ya Yemen kisa hao houth ?
 
penda kufuatilia ujue wayemen wangap wanaishi uhamishoni kisa hao houth , jiulize maisha yapoje ndan ya Yemen kisa hao houth ?
Hata watanzania wapo kibao wanaishi nje,, na bongo hakuna vita, kutoka sehemu moja kwenda nyingine kutafuta fursa hilo suala la kawaida sana,, we umewaona wayemen tu,, chuki zenu ni kwa sababu tu wapo against marekani na mashost zake
 
kwahiyo tusifie wahouth kuwatesa wayemen kisa wahouth wapo against America ? hv kichwan zimo kwel ? na ss hv serikali mbovu zimegundua namna ya kuwashika wajinga kama nyinyi zinajifanya zipo against ili msizingatie ubaya wao kwa raia wao , UJINGA ndo ttzo kwako , unahisi kila mtu yupo kusifia AMERICA au MRUSI au Mambo ya Mudi , Amka mwana afrika
 
Ila Israel na shost yake marekani kukaa kwenye nini kunakowafanya wapende kufilwah mpaka kufikia hatua ya kutoa ruksa kwenye nchi zao wanaume watinduane
Si tunaambiwa hata mtume wako naye alikuwa ni wale wale hadi eti akawa ananyonya ulimi wa mwanamume mwenzake, mbona hilo hamlisemei❓❓
 
Si tunaambiwa hata mtume wako naye alikuwa ni wale wale hadi eti akawa ananyonya ulimi wa mwanamume mwenzake, mbona hilo hamlisemei❓❓
Kama unamzungumzia mtume mohammad basi jua ya kwamba,, alikuwa na wake wanne, watoto saba, alikuwa mfanyabiashara na jemedari wa kivita aliongoza vita Zaidi ya moja,,, kifupi alikuwa mwanaume wa shoka haswa
 
kwahiyo tusifie wahouth kuwatesa wayemen kisa wahouth wapo against America ? hv kichwan zimo kwel ? na ss hv serikali mbovu zimegundua namna ya kuwashika wajinga kama nyinyi zinajifanya zipo against ili msizingatie ubaya wao kwa raia wao , UJINGA ndo ttzo kwako , unahisi kila mtu yupo kusifia AMERICA au MRUSI au Mambo ya Mudi , Amka mwana afrika
Hakuna mtu aliekwambia usifie wahouthi,, isipokuwa chuki zako kwa dini nyingine na mataifa mengine baki nazo mwenyewe usituambie sisi,, sasa huyo unaemwita mudi na na vita kati ya wahouthi na marekani yeye anahusikaje,,
 
penda kufuatilia ujue wayemen wangap wanaishi uhamishoni kisa hao houth , jiulize maisha yapoje ndan ya Yemen kisa hao houth ?
Houth ndio wako mbioni kuweka mazingira kila anayependa arudi.
Enzi watu wanakimbia houth hawakuwepo.
 
Back
Top Bottom