Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,118
1,915
IMG_1054.jpeg

BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume

Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu Marekani ipo kwa ajili ya kuwabomoa wanaume weusi.

Kipindi cha hivi karibuni Meek Mill ametajwa kwenye skendo ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja na Rapa P Diddy ambaye tayari ana kesi ya unyanyasaji wa kijinsia nchini Marekani.
 
View attachment 2927150BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume

Hii ni kweli,na ni jambo la kushangaza,waamerika wengi weusi,ni mashoga,nafikiri huu ni mkakati maalumu wa taifa hilo.Huwenda ikawa toka wakati wanazaliwa labda wanapewa dawa za kuwa hivyo,sina uhakika,ila wataalamu waje watuambie.
 
View attachment 2927150BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume

Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu Marekani ipo kwa ajili ya kuwabomoa wanaume weusi.

Kipindi cha hivi karibuni Meek Mill ametajwa kwenye skendo ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja na Rapa P Diddy ambaye tayari ana kesi ya unyanyasaji wa kijinsia nchini Marekani.
Waliojaribu wengi walirudi.
Akifika ghana atakuta rushwa, urasimu n.k hapo atagundua aliruka koja akakanyaga mavi.
Sema ukiwa na ela na exposure rahisi kuwa tajiri katika nchi za afrika zinazonuka rushwa.
 
View attachment 2927150

BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume

Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu Marekani ipo kwa ajili ya kuwabomoa wanaume weusi.

Kipindi cha hivi karibuni Meek Mill ametajwa kwenye skendo ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja na Rapa P Diddy ambaye tayari ana kesi ya unyanyasaji wa kijinsia nchini Marekani.
Mzushi tu. Hakuna mtu mweusi wa America anayetamani kuhamia Africa. Huwa wanajifanya wanaijali Africa lakini kiukweli hawana mpango nayo kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom