mapinduzi

  1. 'Vitoto' vya wanasiasa vinaingizwa ktk siasa, eti wengine waende kujifunza kilimo Israel!

    Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea ili vishinde. Wakati huo huo wengine wanaambiwa kuna fursa Israel, pamoja na hatari ya vita. Matatizo...
  2. Utaasisi wa Chama Cha Mapinduzi katika Kuisimamia Serikali katika Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.

    UTAASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI Nyandi Raphael Jr. K/UVCCM [M]SHINYANGA 0718695061 November 26,2023. CHAMA CHA MAPINDUZI ni Miungoni mwa Vyama Vikongwe vya Ukombozi wa Ukoloni Nchini na Africa. Haina Mashaka katika Uhiriki wake...
  3. T

    Kama Mpira umetushinda, tunawezaje kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kisiasa?Jibu ni hatuwezi

    Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka. Wazungu wana maneno mawili kwenye soka Class Form Class is permanent, form is temporary Hadhi ya Morocco ni kubwa sana...
  4. Mnyeti: Rais Samia Amedhamiria Kufanya Mapinduzi Sekta ya Uvuvi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi. Mhe. Mnyeti amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi boti 2 za...
  5. Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
  6. Mapinduzi ya Tunisia yalianza baada ya ugumu wa maisha na serikali yenye ubabe

    2010 tarehe 17 December ndio ilikuwa mda rasmi nchi ya Tunisia ikijikuta wananchi wanaongea lugha Moja. Kisa kinaanza hivi. Ugumu wa maisha kuwa mkubwa,rushwa ndani ya serikali kukisiri,ukosefu wa ajira,uhuru na ukandamizaji wa watawala kuwa mkubwa. Kijana mmoja baada ya kumaliza chuo kwa...
  7. N

    Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  8. Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary Amez

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
  9. Je, zile nchi za Afrika zilizofanya mapinduzi ya kijeshi, kuna mikataba imevunja je nazo zitashtakiwa. ICCSD court?

    Yes , tumeona mapinduzi hapa kama yooote yametokea so mimi naulizia je wanashtakiwa kwenyw ile mahakama ya mchongo iliyomtoa kijasho prof.mruma? Au hiyo haiwahusu hizo nchi za kijeshi mfano Burkina Faso/ Mali/ Niger na France katika uchimbaji wa madini na uranium. Au ni sisi tu bongo...
  10. Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu. Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu. Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
  11. Mapinduzi ya kilimo hayataletwa na jembe la mkono

    Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo. Binafsi nimeona hilo tukio ni la kisiasa sana na lingepaswa kufanywa mwaka 1880 kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa nyakati hizi...
  12. Rais wa Burundi alaani uvumi wa Mapinduzi

    Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Tangu alipoondika Burundi, Septemba 10, 2023 kuliibuka tetesi hizo kwenye mitandao ya kijamii huku...
  13. Ufaransa yatangaza kuwaondoa Balozi na Wanajeshi wake kutoka Niger

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema watachukua maamuzi hayo kutokana na Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Niger ya kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum. Amesema “Tutatekeleza hilo ndani ya saa kadhaa zijazo, Balozi na Wanadiplomasia wetu watarejea nyumbani, hivyohivyo kwa vikosi vyetu...
  14. Gabon yasimamishwa Uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kutokea kwa Mapinduzi

    Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo. Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo. Jeshi lilimwondoa Bongo...
  15. Amani, Uhuru, na Ustawi wa Kiuchumi ndiyo mambo pekee yatakayoiepusha Afrika na Mapinduzi ya Kijeshi

    Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
  16. Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

    BREAKING: Military coup in Congo at this moment. The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital. Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence. DDGeopolitics UPDATES Serikali imekanusha teteai...
  17. Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  18. Aliyepindua Gabon hafai, ni fisadi kama akina Bongo

    Mapinduzi ya Gabon yana mfanano na mapinduzi mengine yaliyofanyika nchi za Afrika Magharibi. Hata hivyo kuna vitu muhimu vinavyoyatafautisha mapinduzi hayo na wenzao. Brice Oligui Nguema ni mjomba wa raisi aliyempindua ambaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa kikosi cha kumlinda raisi huyo. Tofauti...
  19. Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  20. Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi. Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…