Chama cha mapinduzi kisitoe haki kwa vyombo vingine vya habari hasa online tv kurusha exclusive news kuhusiana na ziara za mwenezi

ndo vile

Member
Mar 11, 2023
25
12
Story kuhusu ziara za mheshimiwa mwenezi imekuwa bidhaa inayofatiliwa sana kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii.
Ushauri wangu
Chama cha mapinduzi kisitoe haki kwa vyombo vingine vya habari hasa online tv kurusha exclusive news kuhusiana na ziara za mwenezi,badala yake hizi online TV zipewe muktasari ya yaliojiri kwenye mikutano na habari kamili zipatikane kwenye app ya chama cha mapinduzi!!
Habari zone exclusive kuhusiana na ziara zianze kupatikana kwanza kwenye app ya CCM kabla ya kwenda kwenye platforms nyingine
Faida
Engagement ya watu kwenye app ya CCM itaongezeka!!
 
Hiyo engagement ikiongezeka inatatua kero ya umeme na maji kwa wananchi? Mawazo mfu yasiyo na tija yoyote!
 
Sisi hatuna time,matatizo yanasababishwa na ccm yenyewe na yanatatuliwa ,wamejaza watu ambao siyo waaminifu juu,tunashida ya umeme,maji,sukari,maisha magumu,kipindi cha magu 1500 ulikuwa unaamua,la ununue mchele kilo moja au unga kilo moja,kafariki tu hali imebadirika,na waziri wa kilimo ni yuleyule aliyekuwa enzi za magu,bora tungesema alikuja mwingine lakini ni yuleyule,kifupi tumechoooooka saaaaana,tuacheni
 
Story kuhusu ziara za mheshimiwa mwenezi imekuwa bidhaa inayofatiliwa sana kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii.
Ushauri wangu
Chama cha mapinduzi kisitoe haki kwa vyombo vingine vya habari hasa online tv kurusha exclusive news kuhusiana na ziara za mwenezi,badala yake hizi online TV zipewe muktasari ya yaliojiri kwenye mikutano na habari kamili zipatikane kwenye app ya chama cha mapinduzi!!
Habari zone exclusive kuhusiana na ziara zianze kupatikana kwanza kwenye app ya CCM kabla ya kwenda kwenye platforms nyingine
Faida
Engagement ya watu kwenye app ya CCM itaongezeka!!
MISUKULE
 
Leo pale Kasulu Kigoma mwenyewe kaona panapovuja baada ya mabango elfu kushushwa pale.

Nukuu "Ni kweli wanasema mvua inyeshe tujue wapi panavuja"
Kimsingi kauli hii inadhihirisha wazi kabisa Serikali ya Chama changu Chukua Chako Mapema na wateule wasimamizi hawajui watendalo kwa wananchi wake.

Kuna haja gani ya kuunda Tume kama waliko ni mapoyoyo Tume inasaidia nini wakati upigaji ni mkubwa! Timueni wapuuzi kila kona.

Ya CAG yenyewe hayajapata majawabu bunge limekuwa bubuh!
 
IMG-20240201-WA0108.jpg
 
Nadhani hujanielewa mm nimeshauri kuhusu tu jinsi ya kuifanya app ifanye vizuri yani watu waitembelee hilo swala la utatuzi wa kero ni swala lingine
 
Back
Top Bottom