Mapinduzi cup mashindano mabovu yenye marefariii wabovu haijapata kutokea. Ondoeni huu upuuzi mwakani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Yalikuwa mashindano yenye heshima hivi sasa yamekua mashindano ya kihuni yakiongozwa na marefariii wahuni hatujapata kuona nchi hii.

Upuuzi ulianza mechi ya mlandege kila mtu alishangaa ni kwamba refariiii aliingia na matokeo, fanya ufanyaloo Mlandege ishinde

Tuje mechi ya Simba hii ndio ilikuwa ya kipuuzi zaidi hata kama kuhongwa hakuwa na aibu refaa huyu kwa aliyofanya.

Ingawa baadae aliombewa msamaha na shirikishooo nitashangaa kuona wapuuzi kama hawa wakiendelea kuchezesha mechi zozote nchini...

Sasa unawezaa elewa mechi ya leo final majibu ni yapi kama timu ziliingia kwa upuuzi wa marefa
Niko paleee temboni natoa zaka pls ntarudi baadae

Wasimamizi wa haya mashindano kama mmeshiriiiki huu uhuni muachane nao Apr imeandika barua shirikisho Lao haitaki kabisa kusikia timu yoyote ya Rwanda ikienda Zanzibar kucheza ujinga kama ule....
 
We final shirikisho inakiri timu zimeingia kwa makosa ya kibnadamu washenzi kabisaa
 
Kelele za chura hazimzui tembo kunywa maji. Maumivu yakizidi we piga tramadol kutwa ×3 Afu africa team sio APR pekeyake team zenye uhitaji wa kushiriki ziko kibao hao wapite kule na nyie uto mkiamua kujitoa itapendeza zaidi
images.png
 
APR hawataki kusikia timu yoyote kutoka Rwanda ikishiriki Mapinduzi CupCup!

Wao kama nani wazuie timu zingine 😃😃😃😃
 
Ha ha kaka mkuu ndio umeona mwaka huu.. kule ulaya haya VAR huwa inabishiwa.
 
Yalikuwa mashindano yenye heshima hivi sasa yamekua mashindano ya kihuni yakiongozwa na marefariii wahuni hatujapata kuona nchi hii.

Upuuzi ulianza mechi ya mlandege kila mtu alishangaa ni kwamba refariiii aliingia na matokeo, fanya ufanyaloo Mlandege ishinde

Tuje mechi ya Simba hii ndio ilikuwa ya kipuuzi zaidi hata kama kuhongwa hakuwa na aibu refaa huyu kwa aliyofanya.

Ingawa baadae aliombewa msamaha na shirikishooo nitashangaa kuona wapuuzi kama hawa wakiendelea kuchezesha mechi zozote nchini...

Sasa unawezaa elewa mechi ya leo final majibu ni yapi kama timu ziliingia kwa upuuzi wa marefa
Niko paleee temboni natoa zaka pls ntarudi baadae

Wasimamizi wa haya mashindano kama mmeshiriiiki huu uhuni muachane nao Apr imeandika barua shirikisho Lao haitaki kabisa kusikia timu yoyote ya Rwanda ikienda Zanzibar kucheza ujinga kama ule....
Poleni utopolo
 
Furaha ni kubwa sana maana huku kuna watu wa utopolo wanamtukana Karia hawajui hata kama Zanzibar kuna ZFF ni kuthibotisha tu ule usemi wa Manara
 
Unataka yafutwe halafu Makolo a.k.a Madunduka wawe wanachukua kombe gani?

Eti Kalpana na wewe unaomba yafutwe kweli?
 
Back
Top Bottom