mapenzi

  1. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za zamani za mapenzi

    https://youtu.be/lAXIQChY8ek?si=0xWTkU2Pigyeqezs Unakula nini ili nami nifurahi https://youtu.be/8-Sjs6RBp1c?si=4_5IpGl_vsk7Dh9P Nipigie https://youtu.be/kUf3HL9SZa0?si=hWIYUzA71H2dfkvq Kwa ajili yako https://youtu.be/8eyAeqkV2gg?si=qf6VNcnWsnBkLhqz Pipi je na wewe ulipenda zipi??
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Mapenzi bhana. Vina muda basi?

    Vina muda basi!!?
  3. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania America ,Europe na Asia wapewe mauwa yao

    IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini. Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena. Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu...
  6. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maudhui ya Mapenzi na Ngono Hakika yana Run Dunia ya Mitandaoni.

    Ama kwa hakika unaweza kusema Mungu wa kanisani na msikitini, na kwenye milima na majabali amekauka kwenye nafsi za binadamu. Kila post ya kingono ngono, maudhui ya mapenzi yanapata mileage mfano huko Twitter (X) , ni kufuru ni mwendo wa Angalia video kwenye comments. Popote pale Insta, hapa...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania UKUBWA WA TUPU KWENYE MAPENZI

    Kwanini siku izi mbususu ni kubwa mno halafu mishedede inakua midogo mno kuikabili mbususu kwenye mgegedano? Au ni kwasababu mbususu inakua tayari inataka kwahiyo inajichanua yenyewe halafu mshedede hautaki kwasabb mbalimbali kama vile maradhi, msongo wa mawazo, uchafu na harufu mbaya ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kizuri kwa mwanaume kama kuwa na uhuru wa kihisia linapokuja suala la mapenzi

    Ninaposema uhuru wa kihisia namaanisha ewe mwanaume popote ulipo, iwe kazini, chuoni, mtaani hakikisha hawachukulii serious wanawake, yani moyo wako uwe kama jiwe, mtu asipoliondoa litabakia hapo milele, namaanisha uwe na mindset kuwa mdada yoyote nikimtongoza akinikubali sawa, asiponikubali...
  10. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania Mungu siyo mtumwa wako, hafanyi kamwe mapenzi yako

    Hakuna anayeishi kwa ajili yake “Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko". Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, sio upendeleo au mapenzi, ila huyu ndie msanii bora wa kike hapa Tanzania

    Kuna kitu special kilichopo ndani ya huyu mdada. Despite na uigizaji na uandaji mbovu wa filamu bongo lakini unapokutana na huyu mtu hata kama umekosea chaneli lazima utafurahishwa na uigizaji wake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi kumbe ni kimbembe hivi

    Mara yako ya kwanza kufanya mapenzi ulikua na miaka mingapu,ilikua ni wapi, ulimuanzaje na baadae ikawaje.
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

    Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior. Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki...
  14. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba pesa inaharibu mapenzi?

    Habari zenu. Moja kwa moja kweny point. Madam Donatila ameanzisha uzi leo ambao unasema; Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi Bac mm kwa sababu nilikuwa nina mawazo ambayo yako tofauti kidogo, nikaamua nifungue uzi ambao nitajaribu kueleza mambo kwa mtazamo wangu, kwa jinsi ninavoyaelewa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jana ( Jumapili ) ndiyo nimejua Mapenzi hayaepukiki hata Siasani au Ukimchafua Mtu kwa Mkewe / Hawara ampendae

    Tucheze na vyote ila siyo Mapenzi. Na Mapenzi hayaangalii uko katika Siasa au Ulichukiwa Ofisini katika Kampuni au una Nuksi tu ya Kutokukubalika kwa Wanadamu kutokana na kuwa Tajiri sana ulipopata Fursa ya Kuaminiwa kuliko Wengine na Ukaitumia vyema na Kuwaacha / Kutuacha Kimaendeleo.
  16. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nilichomfanya tapeli wa mapenzi alivyotaka kunitafuta kilaini...

    Majeruhi: Money penny bwana, nilikutananna wajinga flani hivi hapa dar wakataka kunitapeli ili wanile kilaini Money penny: doh, wamefanyaje Majeruhi: mjinga wa Kwanza alinichunguza wee akajua weakness yangu ilipo, akaomba kuvaa utajiri ili anipate Money penny: enhe Majeruhi: akaniaminisha...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wauawa kwa kuchinjwa kisa wivu wa mapenzi

    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?

    Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii? Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
  19. Kaghambe

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi bwana acha nicheke tu!

    Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁 Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Matamanio ya watu yana "evolve", ndio maana zamani makalio hayakuwa kigezo katika mapenzi na urembo

    Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo. Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi...
Back
Top Bottom