mapenzi

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha, Ndoa ndio ina talaka lakini Mapenzi hayana Talaka

    NAWAKUMBUSHA, NDOA NDIO INA TALAKA LAKINI MAPENZI HAYANA TALAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi amua kumpenda Fulani. Upendo upo naturally. Mapenzi ni naturally. Mapenzi ya kuamua ni bandia. Huwezi amua umpende Fulani. Nataka kusema, mapenzi yapo nje ya uamuzi wa Mtu. Ila kumfanya...
  2. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

    It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation. Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa. Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Anaewaza kufikishwa kwenye mapenzi ni mgonjwa. Kwenye tendo wajibu ni kujiandaa kufika kileleni na sio kufikishwa.

    Wasalaam nyote, Karne hii binadamu wehu wanetamalaki, hawajui kusudi lao la kuishi, hawajui wajibu wao wa msingi katika kuishi furaha na amani. Wanawake wanaimba kufikishwa what a shame, wanawake wamejaa ubinafsi uliokithiri. Mapenzi yapo kwenye akili na nafsi ya Kila mpokeaji na mtoaji...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayamsaidii mwanaume kupata hela zaidi ya kutoa hela

    Wengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi. Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo. Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Lugha kuna mother tongue, kwenye mapenzi kuna First love, tunaita Main Base ya Mahusiano

    KWENYE LUGHA KUNA MOTHER TONGUE, KWENYE MAPENZI KUNA FIRST LOVE, TUNAITA MAIN BASE YA MAHUSIANO. Na, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu duniani kina msingi wake. Ipo misingi imara na Ipo misingi dhaifu. Lakini msingi ni msingi tuu. Unapoenda kuomba kazi watahitaji CV yako ili wapate kuuona...
  6. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Dalali wa mapenzi ...

    Jana nilikuwa na jamaa mmoja anajiita Dalali wa mapenzi, na hata ndio maongezi yake Dalali: money penny bwana inabidi upewe maua yako?? Money penny: ya kwenda wap me natafuta hela Dalali: unajua we mtoto Una akili ila wachawi wengi Money Penny: na Mungu anakuwa wap labda?? Dalali: money...
  7. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

    MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15 Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukamuacha yule mpenzi wako uliyempenda sana?

    Wakuu kwema? Kila mtu amewahi kupitia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mtu anakuwa kwenye mahusiano yenye furaha isiyo kifani hadi anaona kama dunia yote ni ya kwake. Ila mambo yanapogeuka, anajikuta kwenye stress nzito hadi anatamani dunia imdondokee afe tu. Sasa hebu tushare inakuwaje wapenzi...
  9. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kupata mapenzi ya kweli kwa wanawake wenye umri wa Miaka 38 - 55 ipo. Kwanini mnadanganyana otherwise?

    Toxic batchelor: Money Penny it's high time uwaambie hao madogo unaowaandikia ukweli kuhusu real love Tunasoma nyuzi zako tunacheka sana at the same time tunawahurumia Sana wanao comment Yani NI kama age 20 mpaka 35 wako chocked when it comes to start a family na ndoa, wanapata presha za...
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe haitoweza kununua upendo wa kweli. Elewa kuwa pesa inagawanyika lakini mapenzi hayagawanyiki. Elewa...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuomba ushauri wa mambo ya mapenzi hapa JF

    WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao kwa nia ya kumuoa. Kwenye huo uzi nilipata ushauri mwingi ingawa baadhi ya wanaJF wenye roho mbaya...
  13. Ebejo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  14. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe mapenzi yana mambo! Kusachiana mifukoni na kupekuliana simu kimya kimya pasipo kujua, na hamkuniambia?

    Aisee nyie walimwengu mna siri! Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua! Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia imenishangaza...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Hadithi fupi ya mapenzi

    SIMULIZI FUPI, LOVE STORY Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja atafanikiwa. Siku moja dada huyo akiwa yupo nyumbani aliamua kumpigia simu huyu kaka...
  17. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

    Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu. Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi. Wakuu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

    Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake. Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

    Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie. Muonekano wa hii pisi kali; amepanda hewani kunizidi mimi, rangi ya chungwa, sura tamu, kiuno nyugwi...
  20. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mvua za vuli zimeanza wadau wa mapenzi tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.

    Hello JF, Mvua ni chagizo la veto ya mapenzi, kila wito imo! Neema ya mvua za vuli imeanza maeneo baadhi ya Nchi ya mahaba, natoa Rai Kwa mabaharia wote tuendelee kuyaanda Maghetto yetu. Kwa maana imeandikwa waacheni watoto wazuri, warembo, pisi kali waje kwetu sisi mabaharia kwa maana...
Back
Top Bottom