Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.
Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki...
Habari zenu.
Moja kwa moja kweny point.
Madam Donatila ameanzisha uzi leo ambao unasema;
Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi
Bac mm kwa sababu nilikuwa nina mawazo ambayo yako tofauti kidogo, nikaamua nifungue uzi ambao nitajaribu kueleza mambo kwa mtazamo wangu, kwa jinsi ninavoyaelewa...
Tucheze na vyote ila siyo Mapenzi. Na Mapenzi hayaangalii uko katika Siasa au Ulichukiwa Ofisini katika Kampuni au una Nuksi tu ya Kutokukubalika kwa Wanadamu kutokana na kuwa Tajiri sana ulipopata Fursa ya Kuaminiwa kuliko Wengine na Ukaitumia vyema na Kuwaacha / Kutuacha Kimaendeleo.
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?
Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁
Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka...
Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo.
Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi...
Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi.
Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity.
Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua hujapevuka yaani unakuwa mtu mkubwa na sio mtu mzima (tofautisha)
Baada ya Salam.
Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti.
-Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu
-Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba
-Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika
-Kuolewa-kuoa...
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.
1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo.
2. Huongeza ukakamavu wa mifupa.
3. Hupunguza msongo wa mawazo.
4. Hupunguza maumivu.
5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume.
6...
Kuna siku humu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni nyuzi za kutendwa tu. Wengine usiku...wanakuja na kataa ndoa. Ni mwendo wa kupigana matukio tu.
Lakini tupo sisi tunaokula utamu wa mapenzi. Tunakula utamu kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Hapa napoandika nimetoka kupigiwa video call, nimeambiwa...
Imechukua muda sana kukubali kuwa sharing is giving and receiving, pia kuna kupata na kukosa na kupata tena na kukosa tena, game on.
Baada kipindi kurefu cha ujinga wa wivu kwenye mapenzi na mahusiano na wanawake sasa nimeachana na uzuzu na upumbavu wa kuwa na wivu.
Wanawake ni wengi na...
Wengi wetu tunakumbuka historia ya kwenye vitabu vya Dini kuhusu Sodoma na Gomorrah, uovu mkuu uliotawala katika miji hiyo ulikuwa ni Uzinzi na Ushoga ambayo leo tunatafsiri kama mapenzi ya jinsia moja.
KATIKA BIBLIA
Historia ya Sodoma na Gomora inapatikana katika Kitabu cha Mwanzo (Genesis)...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman…
Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo.
Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi.
Amesema tukio la kujiua kwa kujipiga risasi kwa aliyekuwa Askari J.2596 Konstebo wa Polisi Samwel Feston Kaziyote [24] wa kituo kikuu cha Polisi Mbeya...
Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake.
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
bisexual
gays
jinsia
jinsia moja
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kuhusu
kupotosha
lesbians
lgbt
mambo
mapenzi
mashoga
moja
mspenzi
papa
rasmi
transgender
wapenzi
Salaam waungwana wote,
Kwa kweli katika kitu najuta maishani ni kumpenda huyu mtu, nimekua nae kwa miaka 7 sasa, niseme tu nilimkuta hana kitu kabisa sikujali kitu nilijali mapenzi, tukaanza mapenzi na yalikua moto moto, alikua anafanya kazi sehemu kwa mshahara mdogo sana, wakati huo mie nipo...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Chochote kinaweza kutangulia hasa Kwa wale Watu Exceptional, wateule, wenye bahati zao. Ambao Watu hao Duniani ni wachache yaani mmoja mmoja. Watu hao ndio wanaovunja Kanuni za Asili na kuwafanya Watu wengine waseme Maisha hayana Formula. Ni kweli Maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.