Maudhui ya Mapenzi na Ngono Hakika yana Run Dunia ya Mitandaoni.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Ama kwa hakika unaweza kusema Mungu wa kanisani na msikitini, na kwenye milima na majabali amekauka kwenye nafsi za binadamu.

Kila post ya kingono ngono, maudhui ya mapenzi yanapata mileage mfano huko Twitter (X) , ni kufuru ni mwendo wa Angalia video kwenye comments.

Popote pale Insta, hapa jukwaa pendwa, fcbk, etc kote huko ni balaa tupu.

Huyo Twitter (X) hadi shetani anasubiri post za ngono na maujinga yanaenda kuangusha Dunia kiuchumi hali ni tena.

Ni hatari sana CCM itatawala milele sioni maajabu mapya ya kimapinduzi. Skewness towards foolishness acts is alarming.

Ni hayo shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz
 
Mnapinga kila kitu. wakuu wa shule wakifukuzwa kazi kwa piwaimbisha watoto wimbo wenye maudhui hayo mnapinga.
 
Ama kwa hakika unaweza kusema Mungu wa kanisani na msikitini, na kwenye milima na majabali amekauka kwenye nafsi za binadamu.

Kila post ya kingono ngono, maudhui ya mapenzi yanapata mileage mfano huko Twitter (X) , ni kufuru ni mwendo wa Angalia video kwenye comments.

Popote pale Insta, hapa jukwaa pendwa, fcbk, etc kote huko ni balaa tupu.

Huyo Twitter (X) hadi shetani anasubiri post za ngono na maujinga yanaenda kuangusha Dunia kiuchumi hali ni tena.

Ni hatari sana CCM itatawala milele sioni maajabu mapya ya kimapinduzi. Skewness towards foolishness acts is alarming.

Ni hayo shukrani

Wadiz
CCM, ngono , Mapenzi , post za ngono Tweeter

Muandishi mbona unachanganganya habari tuchukue lipi
 
Sio kila kitu mkilaumu chama cha ccm, mengine ni ulofa wa kijamii tu sasa ccm imekuambia ungalie ngono

Tena bora hata sahivi wameweka vikwazo ngono hamziangalii kwa urahisi huko kwenye Browser
 
Back
Top Bottom