mapenzi

  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

    Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:- |-• Wanaume wengi...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂

    Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂 Dharau Ujuaji Kukosa Heshima Ubinafsi Chuki/Genye Unafki/Ufitinishaji Majungu/Roho Mbaya Najua huwezi kosa kimoja hapa jitahidi kupunguza sasa 😊
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wenye majina yanayoanza na S, C, M na D wanapenda sana kufanya mapenzi. Ya kweli haya?

    Mtaalamu wa ufahamu wa majina, Shekhie Mussa ametaja baadhi ya majina wanaopenda sana kufanya mapenzi, akisema kupenda kwao sana tendo hilo ni afya. Akataja watu wenye majina yanayoanza na herufi S, C, M na D wanapenda sana lipofika suala hilo. Wenye herufi zenu, ya kweli haya?
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Mtaalamu wa Saikolojia ya Mahusiano, Namshauri Haji Manara Apunguze Kasi ya Kuanika Mapenzi yake Hadharani, hasa Faragha yake

    KAMA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO, NAMSHAURI HAKI MANARA APUNGUZE KASI YA KUANIKA MAPENZI YAKE HADHARANI, HASA FARAGHA YAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nampongeza Haji Manara kwa mafanikio aliyoyafikia, amekuwa mfano mzuri kwa Watu wa aina yake, nazungumzia Watu wenye ualbino. Na...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

    Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna maisha ya mapenzi! Ni maisha ya maslahi!

    Yale mambo ya kuonyesha unampenda kwa dhati kiasi gani mpenzi wako, au mke wako, au bosi wako au rafiki yako hayapo tena! Kila mtu anaangalia maslahi ya kutoka kimaisha au kupata unafuu fulani wa changamoto za maisha au kwa jinsi gani uwepo wako utampa unafuu wa changamoto za kila siku...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bachelor unafanya mapenzi mara ngapi?

    Habari zenu, Kijana ambae hujaoa na wala hauishi na Mwanamke ndani, unafanya mapenzi mara ngapi kwa mwezi? MLIOOA /SOGEA TUISHI PITENI KIMYA KIMYA HUU UZI HAUWAHUSU.
  9. Halima101

    JamiiForums Tanzania Why Kenyan women fall for Nigerian men

    But also Kenyan women must stop being cheap sluts for scammers & sex-tourists. We refuse to shoulder the blame for your poor life-choices. If your dumb mothers didn’t tell you to get your act right, we will. “Stay away from Nigerian men! All Nigerian men are conmen. Repeat after me; “All...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Mapenzi mara kwa mara unakuwa hatarini kupata UTI

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke Dkt. Ikrah Abdallah ametoa wito kwa Jamii kutofanya tendo la ndoa mara kwa mara badala yake tendo hilo linaweza kufanyika angalau mara Tatu (3) au Nne (4) kwa wiki ili kuondokana na hatari ya kupata UTI...
  11. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi

    Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi Utapata mautamu, bila hata ya hirizi Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi Jaman nyie mademu, wanaume...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananipeleka kasi sana

    Mapenzi yananipeleka kasi sana ngoja nijipumzishe kidogo
  13. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jr. Farhan wa Clouds Tv huna uelewa wowote katika mahusiano ya mapenzi; huwezi kumhudumia Mwanamke uliyezaa naye baada ya kuachana naye ukabaki salama

    JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
  15. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Hivi Mapenzi ni kitu gani?

    Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi, Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi, Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku...
  16. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mapenzi bila pesa magumu

    Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

    Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
  18. Daydream

    JamiiForums Tanzania Aina za wanawake ambao lazima utumie condom pindi unapofanya nao mapenzi

    Wafuatao ni aina ya wanawake ambao ni lazima uvae condom pindi unapofanya nao mapenzi. 1. Ikiwa ana Tattoo vaa hata Condom tatu kwa pamoja utakuja kunishukuru 2. Kama anakunywa bia hakikisha unavaa Condom 3. Kama anafanya kazi kwenye saluni za kiume/zakike ndugu yangu vaa Condom 4. Kama ni...
  19. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Je, anayejihusha kimapenzi na mwanafunzi adhabu yake ni sawa na aliyempa mimba mwanafunzi?

    Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje? Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?
  20. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Mapenzi ni Pesa

    Mapenzi ya leo pesa..usikubali kudanganywa, Usipo kua na pesa..mapenzi yatakuchanganya, Yaani bila hata kupepesa..mke utanyang'anywa. Kama bado huna pesa, hebu anza kupambana, Tena acha kujichosha, kutafuta vimwana, Tafuta iyo pesa, uepuke kutukanwa, Ukishafanikisha, utakula walo nona...
Back
Top Bottom