Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,975
15,316
Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu baba?

Kuna binti mmoja nilianzisha naye mahusiano kiutani utani tu.. baada ya muda binti si akakolea? Jamani yule binti alikua ana mapenzi ya kitoto yaani kila dakika anataka kuwa na mimi, nikiwa nae hataki niondoke, nikiondoka ni simu kila dakikaa yani hadi nashindwa kufanya kazi! Na ole wangu atume msg nisijibu.. inakua kesi. Mwisho nilishindwa nikaamua kubwaga manyanga japo demu alikua pisi balaa!

Vipi wewe umewahi kukutana na hali kama hii ukaona inavyokera?
 
Huenda alikua wewe ndo mwanaume wake wa kwanza labda
Waala sikua mwanaume wake wa kwanza na hii ilishanitokea tena kwa singo maza mmoja.. huyo dada yaani nayeye alikua yuko tayari kufanya chochote kwa ajili yangu, hata mvua iwe inanyesha yeye atakuja nikimhitaji!

Kuna siku aliniita kwake usiku ile kufika tu alinirukia aisee ile siku kusema kweli nilibakwa manake sikua nimejiandaa 😄 Imagine yeye alikua akinipigia nikawa sipokei anaanza kupigia hadi marafiki zangu kuulizia niko wapi na anajua nna mke!

Kuna siku nimemzaba kibao gesti kisa hataki tuondoke anang'ang'ania tuendelee kukaa wakati mida mibovu... dah
 
Waala sikua mwanaume wake wa kwanza na hii ilishanitokea tena kwa singo maza mmoja.. huyo dada yaani nayeye alikua yuko tayari kufanya chochote kwa ajili yangu, hata mvua iwe inanyesha yeye atakuja nikimhitaji! Kuna siku aliniita kwake usiku ile kufika tu alinirukia aisee ile siku kusema kweli nilibakwa manake sikua nimejiandaa 😄 Imagine yeye alikua akinipigia nikawa sipokei anaanza kupigia hadi marafiki zangu kuulizia niko wapi na anajua nna mke! Kuna siku nimemzaba kibao gesti kisa hataki tuondoke anang'ang'ania tuendelee kukaa wakati mida mibovu... dah
Huyo alizidi sasa khaa😃😃😆
 
Back
Top Bottom