maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wizara ya Afya iweke hiari ya kujitolea viungo vya mwili kisheria baada ya kufariki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  3. Geo C Starfish

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maoni juu ya wafungwa wa makosa ya mauaji, kusababisha ulemavu wa kudumu kwa wanaotegemewa na familia zao

    Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine. Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au kuwekwa kifungoni huitwa mfungwa. Kifungo hufanya watu kufuata sheria na hupunguza kwa kiasi fulani...
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA - CCC) linataka maoni yako

    Wadau, tutiririke hapa au mnaonaje? Unaweza kusoma maoni ya wengine kupitia hii TAG on JF: tozo za miamala
  5. P

    JamiiForums Tanzania Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

    Mzee Warioba ameshauri kupunguza muda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi. Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi. Kwa kifupi mikutano ya Kiserikali imekuwa kama ya kampeni
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  7. dazzee28

    JamiiForums Tanzania Maoni yako tafadhari Juu Hili swala.......👉

    Hivi ni kitu gani ambacho haupendi mpenzi wako Akifanye Pale tu Anaposhika Simu Yako...???
  8. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

    Habari za mchana wapendwa katika bwana. Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM. Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
  9. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu sakata la uchaguzi wa TFF

    Mimi Binafsi nadhani huyu Hawa Mniga alikuwa mgombea wa Urais wa (TFF) avhunguzwe, Kwa nini achunguzwe. Unaweza kusema huyu dada ndiye aliyezuia baadhi ya wagombea, kufanya wakose sifa ya kugombea kwa mujibu wa kanuni zilizotungwa na (TFF). Rais Karia na huyu dada ndio waliopata udhamini...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Katika kudai Katiba Mpya, tuwe na Katiba Day kila mwaka na iwe ile tarehe ambayo Mzee Warioba aliwasilisha maoni ya Wananchi juu ya Katiba Mpya

    Habari Wakuu, Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya. Siku hiyo ikifika kila...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia maoni ni Haki yake bali Maamuzi na Utekelezaji

    Niwasalimu kwa jina la JMT. Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake. Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo. Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia ni Maoni si Msahafu, Msingi ni Katiba

    Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba. Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo. Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua anachokitaka na anajua kukiwasilisha vyema. Mama anakijua kiswahili sawasawa. Mama anacheza na lugha...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maoni yangu kuhusu Bandari ya Bagamoyo

    USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO. Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo, Alisema haoni mantiki ya...
  14. balimar

    JamiiForums Tanzania Toa Maoni yako kwenye Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari

    Hello Tupo na Mkutano hapa Dodoma Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu Awali, Msingi na Sekondari Wapenda kujenga nchi mnaombwa kutuma maoni yenu kwa namba hii 0735041169 Unaweza kutuma maoni yako Hapa mkutano unaendelea, pia unaweza kufuatili kwenye mitandao ya kijamii na TBC One Asante
  15. P

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA asante kwa kuwatambua nakukaribisha maoni kwa Wananchi

    Hapa nina mawazo/maoni juu ya fedha iliyochangwa na wapenda haki na demokrasia ya kweli ili ninyi muwe huru kupigania demokrasia. PESA HIYO IWE KWENYE MOJA YA; 1. Kujenga ofisi ya kisasa makao Makuu(CHADEMA HQ) 2. Uwepo mpango wa kujenga Chuo kukuza taaluma ya demokrasia ya chama ikiwa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

    Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

    Wakuu, nafikiria kuanza kufanya biashara ya kununua mayai kwa wafugaji na kuuza ama kwa kusambaza ama kufungua kakibanda, ila sina uzoefu mkubwa na hiyo biashara. Sasa naombeni mnipe ABC's zake kama, changamoto, vitu vya kuzingatia, kiasi cha chini kabisa cha mtaji, nk. Location itakuwa dar...
  18. Leak

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    MBUNGE AACHIE JIMBO! Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohijiwa na gazeti...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Tugange yajayo, Serikali ipo tayari kufanyia Mabadiliko Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka Wadau wa Elimu Wasiwe Waoga kutoa maoni Juu ya Sheria na Kanuni zinazounda Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania. Ameyasema hayo leo tarehe 19 Jun 2021 Mkoani Dar Es Salaam wakati akipokea Maoni ya Wadau wa Elimu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
Back
Top Bottom