Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
383
1,000
Habari za mchana wapendwa katika bwana.

Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM.

Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye matumizi makubwa na matumizi ya kawaida, Ubora wa kioo, Camera n.k.

1625825419792.png
1625825419792.png

Naomba kuwasilisha.
 
Emmanuel S Jonathan

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
329
250
Habari za mchana wapendwa katika bwana.

Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM.

Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye matumizi makubwa na matumizi ya kawaida, Ubora wa kioo, Camera n.k

View attachment 1846665 View attachment 1846665

Naomba kuwasilisha.
Tafuta simu ingine ata kama model iyo iyo maana naona ii no cdma
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,511
2,000
Shukran kaka, naomba ufafanuzi zaidi hapo kwenye cdma, endapo simu itapungukiwa iyo feature itakuwa haina uwezo wa kuperform shughuli zipi.
Nafkiri alisoma vibaya, kwenye Title wameandika no CDMA. Hio ni GSM.

Kwetu Tanzania Tunatumia GSM, CDMA walikuwa ni Sasatel, Ttcl na Zantel zamani ila siku hizi wameshafunga mitambo, ukiwa na simu ya CDMA Tanzania haitafanya kazi.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,511
2,000
Habari za mchana wapendwa katika bwana.

Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM.

Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye matumizi makubwa na matumizi ya kawaida, Ubora wa kioo, Camera n.k.

View attachment 1846665 View attachment 1846665

Naomba kuwasilisha.
Mimi sijaitumia mkuu ila si simu mbaya. Soc yake ni upper midrange sd 765G, kama una matumizi ya kawaida itafanya mambo almost yote vizuri. Sema japo ina battery kubwa ukaaji chaji ni wa kawaida sana.

Kama upo interested na refurb za mitandao kama hizo ushauri wangu Go for lg g8x, pengine ni rahisi zaidi, inakaa na charge na pia soc yake ni Highend.

Jambo jengine la kuwa makini ni hizo simu za mitandao ya marekani kama haijatolewa lock inaweza kuja kukusumbua huku, mfano hao t mobile inaweza isishike 3g ikawa tu 2g na 3g.
 
Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
383
1,000
Nafkiri alisoma vibaya, kwenye Title wameandika no CDMA. Hio ni GSM.

Kwetu Tanzania Tunatumia GSM, CDMA walikuwa ni Sasatel, Ttcl na Zantel zamani ila siku hizi wameshafunga mita no, ukiwa na simu ya CDMA Tanzania haitafanya kazi.
Asante sana Kaka
 
Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
383
1,000
Mimi sijaitumia mkuu ila si simu mbaya. Soc yake ni upper midrange sd 765G, kama una matumizi ya kawaida itafanya mambo almost yote vizuri. Sema japo ina battery kubwa ukaaji chaji ni wa kawaida sana.

Kama upo interested na refurb za mitandao kama hizo ushauri wangu Go for lg g8x, pengine ni rahisi zaidi, inakaa na charge na pia soc yake ni Highend.

Jambo jengine la kuwa makini ni hizo simu za mitandao ya marekani kama haijatolewa lock inaweza kuja kukusumbua huku, mfano hao t mobile inaweza isishike 3g ikawa tu 2g na 3g.
Shukran kaka
 
Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
383
1,000
MREJESHO,

Habari za usiku wapendwa katika bwana, naomba kuwapa mrejesho kuwa nimefanikiwa kuipokea simu Leo (LG Velvet) inafanya kazi vizuri kabisa.

Pia inamwonekano mzuri, speed, inatunza moto bila kusahau camere yake inatoa picha swafi kabisaa.

Kuhusu network, nipo nafaidi 4G bila shida.
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,311
2,000
MREJESHO,

Habari za usiku wapendwa katika bwana, naomba kuwapa mrejesho kuwa nimefanikiwa kuipokea simu Leo (LG Velvet) inafanya kazi vizuri kabisa.

Pia inamwonekano mzuri, speed, inatunza moto bila kusahau camere yake inatoa picha swafi kabisaa.

Kuhusu network, nipo nafaidi 4G bila shida.
Uliagiza wapi kiongozi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom