Una maoni gani kuhusu wanawake wa aina hii?

Zacht

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
1,009
2,197
Habari za jumapili.

Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu.

"kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi hata kuchangia msumari Kwenye ujenzi na siwezi hili swala niliji funzaga tokea nipo binti niliona vile mama yangu alihangaika na ujenzi alafu akaishia kuishi mwanamke mwingine na wanae.

Sinunui chakula wala silipi ada yani ata nikinunua kitu kwa hela yangu naomba refund . Never trust men kabisaa "

Nini maoni yako?
 
Kiasi yupo sahihi
Mwanamke ni kheri uchangie ujenzi na vitu tangible hata mkiachana mtagawana
Lakini kamwe usichangie kulisha familia haswa kama kuna ndugu etc familia kubwa hakuna mtu amewahi kusifiwa Au kukumbukwa kwa kulisha ndugu haswa ndugu wa mume hawa mkitengana na mume watakuwa upande wake daima sio ndugu zako
Hio nguvu ni kheri ujenge na kuwezesha kwenu
Mwanamke ishi kwa akili sio kuweka hisia siku yakikukuta utaisha.....
Wananchi wenye hasira kali karibuni mnipopoe
 
Wanawake wanatofautiana malengo katika ndoa, na kulingana na maoni yake hapo inaonekana malengo yake yalikua ni:

1: kujionyesha kwa wazazi na watu wake wa karibu kua ameolewa ili apate heshima ( kama inavyochukuliwa na baadhi ya jamii).

2: kwenye ndoa yeye anapita tu, ili kumuwezesha kufikia kitu fulani, either kukuza biashara zake na vitu kama hivyo.

Mkuu, kwa sauti kubwa nakwambia hakuna kitu kama kuweka malengo yenu wazi kabla ya kuingia kwenye ndoa. Hakika watu waliofanya hivyo wanakula mema ya nchi...
 
Umeanza kuwaelewa wanawake mkuu
Wanasema hio ni dalili ya kifo
Mungu akuepushie mbali
 
Kiasi yupo sahihi
Mwanamke ni kheri uchangie ujenzi na vitu tangible hata mkiachana mtagawana
Lakini kamwe usichangie kulisha familia haswa kama kuna ndugu etc familia kubwa hakuna mtu amewahi kusifiwa Au kukumbukwa kwa kulisha ndugu haswa ndugu wa mume hawa mkitengana na mume watakuwa upande wake daima sio ndugu zako
Hio nguvu ni kheri ujenge na kuwezesha kwenu
Mwanamke ishi kwa akili sio kuweka hisia siku yakikukuta utaisha.....
Wananchi wenye hasira kali karibuni mnipopoe
Sasa kwa tabia hizi kweli kuna haja ya kuwasuport katika mambo ya maendeleo...
 
Endeleeni kutu support tu mkuu kumbuka hatuwezi kamwe kuwa acha watoto wenu mkitangulia mbele ya haki Au tukitengana support yako bado itawafaa wanao
Endeleeni kutu support damu zenu zitakula mafanikio yetu sio lazima iwe nyie binafsi
 
Hao watoto pengine sio wetu,
Wizara ya elimu iongeze hii point ya ubinafsi kama kikwazo cha wanawake tanzania
 
Habari za jumapili.

Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu.

"kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi hata kuchangia msumari Kwenye ujenzi na siwezi hili swala niliji funzaga tokea nipo binti niliona vile mama yangu alihangaika na ujenzi alafu akaishia kuishi mwanamke mwingine na wanae.

Sinunui chakula wala silipi ada yani ata nikinunua kitu kwa hela yangu naomba refund . Never trust men kabisaa "

Nini maoni yako?
Maisha ni kile unachochagua, amechagua kuishi namna hiyo kwenye ndoa yake, its her life, let her be, ila sio maisha mazuri wala productive kwangu mimi, in that case hata maendeleo ya familia yatakua magumu sana na anamfanya mwenza anabeba msigo mkubwa sana, kama hata kijiko ukinunua unaomba refund, ni hatati sana, pia ni maisha ambayo yanaweza kuwaathiri watoto kwa kiasi fulani, irresponsible woman will bring up irresponsible kids
 
Kiasi yupo sahihi
Mwanamke ni kheri uchangie ujenzi na vitu tangible hata mkiachana mtagawana
Lakini kamwe usichangie kulisha familia haswa kama kuna ndugu etc familia kubwa hakuna mtu amewahi kusifiwa Au kukumbukwa kwa kulisha ndugu haswa ndugu wa mume hawa mkitengana na mume watakuwa upande wake daima sio ndugu zako
Hio nguvu ni kheri ujenge na kuwezesha kwenu
Mwanamke ishi kwa akili sio kuweka hisia siku yakikukuta utaisha.....
Wananchi wenye hasira kali karibuni mnipopoe
Hiyo sio ndoa, ndoa ambayo unaogopa hata kuchangia maendeleao ya familia yako maana yake humuamini mume wako, kama mmefikia hatua ya wewe kuogopa kuchangia jambo lolote kwenye familia kwa fikra kwamba utaachwa atafurahia mwingine mali basi ni heri kuvunja hiyo ndoa.

Kwenye ndoa mke ndio mwenye nyumba bana, ukionyesha njia nzuri na ukiwa mshauri mzuri na mchangiahi mzuri ni rahisi mume kuvutika na mkafanya makubwa tena kwa malengo,

na sikuhizi wanaume wamejanjaruka, kila mradi wa maendeleo mnaonzisha pamoja anaweka kwenye maandishi kwamba hata asipikuwepo mali ni za watoto na zitakuwa chini ya usimanizi wa mke mpaka watoto watakapojitambua, like wise mke asipokuwepo mali zotakua chini ya usimamizi wa mume mpaka watoto watakapojitambua

Kusaidia ndugu kama uwezo unaruhusu sio jambo baya pia, wote ni wanafamilia
 
Wanawake wanatofautiana malengo katika ndoa, na kulingana na maoni yake hapo inaonekana malengo yake yalikua ni:

1: kujionyesha kwa wazazi na watu wake wa karibu kua ameolewa ili apate heshima ( kama inavyochukuliwa na baadhi ya jamii).

2: kwenye ndoa yeye anapita tu, ili kumuwezesha kufikia kitu fulani, either kukuza biashara zake na vitu kama hivyo.

Mkuu, kwa sauti kubwa nakwambia hakuna kitu kama kuweka malengo yenu wazi kabla ya kuingia kwenye ndoa. Hakika watu waliofanya hivyo wanakula mema ya nchi...
Thread closed
 
Maisha ni kile unachochagua, amechagua kuishi namna hiyo kwenye ndoa yake, its her life, let her be, ila sio maisha mazuri wala productive kwangu mimi, in that case hata maendeleo ya familia yatakua magumu sana na anamfanya mwenza anabeba msigo mkubwa sana, kama hata kijiko ukinunua unaomba refund, ni hatati sana, pia ni maisha ambayo yanaweza kuwaathiri watoto kwa kiasi fulani, irresponsible woman will bring up irresponsible kid
Sahihi kabisa nashangaa wanawake wenye misimamo kama wake ,kama ameshajua mwisho wa ndoa yake kwanini asijiengue kuliko kumtesa mumewe na watoto

That's blind idea
 
Mahusiano yanakuwaga yanabeba mambo mengi sana. Na yakivunjika kila mmoja anakuwaga na lake alilobeba kama fundisho.

So tusiseme sana, tujiangalie na sisi.

Huenda wewe mwanamme ulimhudumia mwanamke sanaaa akaja kukuacha huku ukiwa na mipango kedekede na yeye ikiwemo ndoa. So ukasema never again kumhudumia mwanamke kwa kiasi kile.

Sasa huyu inawezekana ni same script different cast. Alimsupport mwanamme wake katika kila njia ikiwemo kuchukua mkopo wajenge etc etc akaja kuachwa kwenye mataa na mimba juu.

So we will never really know where her sentiments came from.
 
Back
Top Bottom