Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,583
Wakuu, nafikiria kuanza kufanya biashara ya kununua mayai kwa wafugaji na kuuza ama kwa kusambaza ama kufungua kakibanda, ila sina uzoefu mkubwa na hiyo biashara.

Sasa naombeni mnipe ABC's zake kama, changamoto, vitu vya kuzingatia, kiasi cha chini kabisa cha mtaji, nk.

Location itakuwa dar

Natanguliza shukrani.

1624612757788.png
 
Upo mkoa gani??
 
Kuku wenyewe wanasemaje
 
Tafuta eneo lenye mzunguko wa watu.
Mtaji tray 30 +
Usikopeshe mayai+
Jitahidi usipasue mayai kupunguza loss.
Kuwa makini usiuziwe mayai mabovu.
Hakikisha una wafugaji wa uhakika wanaukuuzia mnayai wewe.
Bei ya mayai huwa inategemea na demand and supply rule.
Kuwa na network kubwa sana
 
Shukrani mkuu.
 
Jaribu Dodoma kuifanyia, huku wafugaji wa kuku wa kisasa sio wengi sana na mayai yanahitajika sana hasa maeneo haya ya karibu na vyuo.
Hapa mayai unaweza chukulia kwa wafugaji wa dar,moro au iringa ukaja yazungusha chapu yakaisha.
 
View attachment 2132429
Mkuu wewe unafanya hii biashara na inafanyia wapi niko mbeya nahitaji kujumuika
 
Nina wazo la kufanya hii kitu mbeya

sijui ita lipa kweli nataka nifungue boonge la shop ya mayai tu

Yaani hata tray nyingi sana ila bado nafanya upembuzi ya kinifu

maana sijui akina mwaisa kama wanakulaga mayai wale jamaa

Nikifanikiwa kujua wana tafuna hakika nitafungua shop hiloo... na weka na vijana wa kunisaidia kusambaza na boda
 
Mi niomba kwa mtu anayeuza mayai bei ya jumla Dodoma anitafute kqa namba 0785778654 please kama upo dodoma bei ya mwisho 7500 nicheck tuyajenge
 
Tafuta eneo lenye mzunguko wa watu.
Mtaji tray 30 +
Usikopeshe mayai+
Jitahidi usipasue mayai kupunguza loss.
Kuwa makini usiuziwe mayai mabovu.
Hakikisha una wafugaji wa uhakika wanaukuuzia mnayai wewe.
Bei ya mayai huwa inategemea na demand and supply rule.
Kuwa na network kubwa sana
Naongezea, duration ya mayai ni week 3. Isizidi hapo. Kama alivyosema mdau, tafuta penye mzunguko wa watu - wateja ikiwezekana wafuate pia wakufahamu, mayai yawe makubwa.
 
Nina wazo la kufanya hii kitu mbeya

sijui ita lipa kweli nataka nifungue boonge la shop ya mayai tu

Yaani hata tray nyingi sana ila bado nafanya upembuzi ya kinifu

maana sijui akina mwaisa kama wanakulaga mayai wale jamaa

Nikifanikiwa kujua wana tafuna hakika nitafungua shop hiloo... na weka na vijana wa kunisaidia kusambaza na boda
Mimi nauza MAYAI pia na ndio yanaboost mzunguko wa biashara. Tafuta sehem karibu na frem wanapouza bidhaa zingine za jumla (frem isiwe kubwa kusave cost) weka mayai uza JUMLA. Fuatilia soko la kila siku bei inabadilikaga (katika kila Mkoa Kuna kuaga na mwamba mmoja always ana control bei ya mayai). Usije ukawa unauza chini wenzako wako juu au wewe juu wenzako wapo chini... Najua umenielewa. Uki-stock mayai hakikisha unaangalia na bei inavyoenda.... Usije ukapata Hasara.
 
Back
Top Bottom