maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kutokana na ongezeku kubwa la walimu walioko mtaani, napendependekeze udahili wa idadi ya walimu wanaojiunga kusomea ualimu upunguzwe.

    Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu. Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kurudishwa kwa Tuzo za mziki nchini nini Maoni yako?

    Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili tuzo hizi ziwe Bora na ziwe na muendelezo mzuri? Nimeona Basata wameita baadhi ya wasanii wakubwa...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu ayakubali maoni kinzani maduka ya dawa

    Anaandika katika kurasa yake Twita Tumepokea maoni na ushauri kuhusu Kanuni za mwaka 2020 zinazosimamia usajili wa majengo ya dawa (ikiwemo maduka binafsi karibu na Hospitali/Vituo vya huduma za Afya vya Serikali. Ni mjadala mzuri. Tumefurahi kujua kuwa watanzania wengi tunakubali kuwa lipo...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuwa sehemu ya historia ya katiba mpya kwa kuweka maoni yako hapa

    Katiba mpya yaja na hili sio jambo geni wala la kubahatisha tena. Tumetoka mbali na tumepitia mengi mabaya na mazuri ya kushangaza na ya kuleta matumaini pia. MOJA LILILO WAZI ni kwamba KATIBA MPYA haizuiliki tena! Jamii Forums ni mtandao tegemewa kwa mengi hapa Tanzania hasa linapokuja suala...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi?

    Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi? Najaribu kupiga mahesabu yangu ya uwiano hapa, naona yanagoma kubalansi...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Mlitaka kumuacha Sako, kwa maoni yangu hata kumuacha Duncan Nyoni mmekurupuka

    Zilitoka taarifa kuwa kuna hatihati ya kumuacha Papi Sako na wengine kadhaa, hatimaye tukaona ameachwa Duncan Nyoni. Sioni kama Uongozi na benchi la ufundi Simba wamefanya uamuzi mzuri. Kwa muda mfupi aliopata nafasi Nyoni nimeona ameonesha kitu ambacho alihitaji muda zaidi wa kuonesha kile...
  7. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

    Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu kauli ya Rais kwa Vijana Na Mustakabali wa Ajira na Kujiajiri ujumbe huu uende pia kwa watunga sera.

    Salaam! Kwa Wote. Awali ya yote tuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika 2022 salama, tukiwa tunauanza mwaka tunaendelea kutafakari na kuweka malengo ya kupiga hatua kiuchumi. Vijana wa kitanzania bado wameendelea kukumbwa na changamoto kubwa kwenye sekta ya ajira takwimu...
  9. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Unaionaje logo yetu? Tuboreshe wapi? Tunapokea maoni, ushauri na mapendekezo

    Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo. Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Shaka aambiwe hata kukosolewa Rais Samia ni uhuru wa maoni binafsi

    Huu upuuzi wa eti akikosolewa fulani ni kosa na hali ikiwa vilevile kwa mwingine eti ni uhuru wa maoni si sawasawa kabisa. Jana amenukuliwa Shaka msemaji wa CCM akisema wale wote walio mshambulia Ndugai eti wametoa maoni yao binafsi na ni uhuru wao. Ajabu kupitia huohuo uhuru wa maoni binafsi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Maoni: Bila kuathiri Katiba, Spika Ndugai anapaswa kujiuzulu

    Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali. Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala. Kutoka mbele nakukosoa serikali ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania CCM kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali kikundi kilichoshika mateka uhuru wa kutoa maoni na hakitaki mwenyekiti akosolewe.

    Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu bati G30 hasa kwa mazingira ya pwani?

    Wakuu nimeona kuna gap la kama milioni moja kwa bei ya G30 na G28, je bati G30 haina shida?
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  16. polokwane

    JamiiForums Tanzania Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

    Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu walio chini ya chama chenu wana nyanyasika na kusurubishwa kwa kazi ambayo hawakuisomea na wala hawana...
  17. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Maoni: Tuwape Wachambuzi wa soka wafundishe timu ya taifa

    Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha...
  18. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Board ya Tanesco iliyojaa wafanyabiashara ina maoni gani?

    Januari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je...
  19. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

    Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya. ==== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ya Ulimwengu ni Maoni ya Wengi

    Spika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu. Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa misuguano: Balozi Wright atamani maridhiano ya Zanzibar yaje Bara Kwanini Zanzibar maridhiano ni...
Back
Top Bottom