Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Mh SPIKA,
Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge.

Mh SPIKA,
Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge.

Mh SPIKA,
Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu wa Bunge.

Mh SPIKA,
Unashambuliwa na wananchi hata kwa mambo ya msingi kwasababu UNA MATAMKO YA KEJELI UKIWA KWENYE KITI.

Mh SPIKA,
Ongoza vikao, achana na mitandao. Mwenye madai ataleta VIPEPERUSHI kwa Katibu wa Bunge.
 
Asipowachamba wapinzani hasa wanaume kama Mbowe na Lisu huwa anaona siku haijakaa sawa... Mkuu wa wademkaji
 
Back
Top Bottom