Broxn family - mambo yote

Feb 6, 2024
40
51
BRONX FAMILY - MAMBO YOTE.

"Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga na vikwazo kuviweka hawakusita kwa fikra zenye kugusa vichwa vya maadui toka 90s mawingu studio makini maproducer ndani ya fani Walidhani ni utani na kusema ni mbio za sakafuni na kashfu ziliwekwa waimba rap wote ni wahuni ...

Ilaanza mwanzo kuweza kuweka nia Bronx batashika mic akipingania Uzuri umati nao ulishika kasi kunemeka kupitia migongoni mwa wasanii kwani bado walikuwa wamo usingizini ingawa kikwazo kikawa maslahi Duni kwa nguvu ya hoja radioni ikashika nafasi wenye imani potufu wakabaki na bumbuwazi,

Na hizi ndio Busara za Broxn tulia kwanza chini tuliza akili kisha lycris zetu mtathimini Broxn nasema hivi mnajua ni kwanini mara nyingi Broxn tumekuwa na Busara zikiwenda wazimu ambazo hazina utofauti nasi lakini leo hii mtakubaliana na Busara zetu Broxn tumekaa chini Baadae tukajiuliza ni kitu Gani walichofanya wasanii wa mwanzo"

Chorus .

"Mambo yote tiki
Broxn family mambo yote,

Tunashika mic ili turudishee Heshima.. × 2


Tenga ndani ya fasihi kunani jongoo anawika nainuka kitandani nafunua shuka toka usingizini narekebisha kuloose langoni narudi nyuma mawazo Asili nayatazama Tungo zenye uwezo wa kalima Hip hop juu ije songa kiume Beat ryhems ushinde upendavyo mvalingano sema nao!

Kama mwanzo kwenye miaka ya 90s Rap Tanzania ilikuwepo ngizani pale wazee wa zamani, Wana sayansi walipopinga kudai ni uhuni na Muziki wa Rap Bongo kushusha Thamani, lakini sasa Bongo fleva imekubalika na mambo swadata mabene kiana wasanii tunayatanga Tatizo la ajila kwa vijana na uhakika litakwisha kwa vijana wengi kwenye Rap sasa tunakula Maisha nyuzi 360° dogo lecha bali nathimini hali ya sasa na ile zamani Temeke, ilala na Kinondoni watu wote inukeni ..


Muda mrefu sasa umepita toka Enzi zile za kina D rob na chief ramsone ma mc wa kwanza Bongo kuna wahuso toka usingizini huko 90 wasanii tumuumize sana ubongo kwa kufikiri mashairi yenye akili majaji na mawaziri wamekubali Muziki wa Rap Tanzania umekwisha kuwa dili sasa hii ni track yenye ujumbe kamili toka Broxn family ma mc wenye Ghadhabu yo! kwanza tunakula lunch wasiotupenda wamebaki wanajaji..


Chorus..


Chorus

" Mambo Yote tiki
Broxn family mambo yote

Tunashika mic ili turudishee Heshima..!..

🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿


Endeleeea...
 

Attachments

  • Screenshot_20240314-135227.png
    Screenshot_20240314-135227.png
    254.9 KB · Views: 5
ila wamba walikua weupe sana walikua too obsessed na umarekani jina lao linasadifu hilo kiufupi wamba walikua ni whack MC,s
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom