Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
1. Gambling

2. Kula sausages

3. Kutumia sukari

4. Kunywa Energy

5. Kulewa pombe

6. Kupiga punyeto

7. Kununua malaya

8. Kuchangisha mahari

9. Kula bidhaa za ngano

10. Kula kuku wa kisasa

11 .Kuwa na mpenzi mlevi

12. Kufanya ngono zembe

13. Kula milo 3 kwa siku

14. Kuvaa nguo za kubana

15. Kuangalia picha za utupu

16. Kutamani watoto wa shule

17. Kutopenda kusoma na kujiendeleza

18. Kwenda kumlilia mwanamke shida zako

19. Kusimp na kujipendekeza kwa mwanamke

20. Kulala na mwanamke wa mwanaume mwingine

21.K ubebwa mshikaki na mwanamke kukaa nyuma yako

22.K ucheka cheka na kuzoeana na wapenzi wa waashikaji zako

-Credit Millambo
 
1. Gambling

2. Kula sausages

3. Kutumia sukari

4. Kunywa Energy

5. Kulewa pombe

6. Kupiga punyeto

7. Kununua malaya

8. Kuchangisha mahari

9. Kula bidhaa za ngano

10. Kula kuku wa kisasa

11 .Kuwa na mpenzi mlevi

12. Kufanya ngono zembe

13. Kula milo 3 kwa siku

14. Kuvaa nguo za kubana

15. Kuangalia picha za utupu

16. Kutamani watoto wa shule

17. Kutopenda kusoma na kujiendeleza

18. Kwenda kumlilia mwanamke shida zako

19. Kusimp na kujipendekeza kwa mwanamke

20. Kulala na mwanamke wa mwanaume mwingine

21.K ubebwa mshikaki na mwanamke kukaa nyuma yako

22.K ucheka cheka na kuzoeana na wapenzi wa waashikaji zako

-Credit Millambo
Hilo la kununua malaya wengi wetu tushafanya either indirect au direct.
 
1. Gambling

2. Kula sausages

3. Kutumia sukari

4. Kunywa Energy

5. Kulewa pombe

6. Kupiga punyeto

7. Kununua malaya

8. Kuchangisha mahari

9. Kula bidhaa za ngano

10. Kula kuku wa kisasa

11 .Kuwa na mpenzi mlevi

12. Kufanya ngono zembe

13. Kula milo 3 kwa siku

14. Kuvaa nguo za kubana

15. Kuangalia picha za utupu

16. Kutamani watoto wa shule

17. Kutopenda kusoma na kujiendeleza

18. Kwenda kumlilia mwanamke shida zako

19. Kusimp na kujipendekeza kwa mwanamke

20. Kulala na mwanamke wa mwanaume mwingine

21.K ubebwa mshikaki na mwanamke kukaa nyuma yako

22.K ucheka cheka na kuzoeana na wapenzi wa waashikaji zako

-Credit Millambo
Mwisho unaishi maisha ya tabu and you will die kama ambaye alifanya haya yote.
Life is too short ni mwendo wa kuburudika tu director mwisho akisema cut, my performance will end while I have no regrets.
 
Kuna namna fulani unawapangia watu maisha waishi utakavyo wewe, starehe yangu masanga kwa kiasi tena bila kumbugudhi mtu wewe kama nani unipe principle kujiona kama mdada kwa complications zako dhofu? % kubwa ulivyoviandika ndiyo rotation ya maisha ya sasa.
 
Eti usile bidhaa za ngano huo ni uwanaume gani mnausema....?
Jamaa jau sana hawa ndiyo kizazi ambacho tangu anakua analelewa na mama akigeuka kushoto kuna dada hajakaa vizuri saut ya bibi inaita chumban so wanatafuta namna yakuji over comfidence uanaume wao uonekane kumbe wanajipa mateso tu.
 
Back
Top Bottom