mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    AFCON: Mambo yamebadilika?

    Mechi chache zimepigwa, lakini kiukweli waliodhaniwa watatamba hali ni mbaya . Misri tia maji tia maji huku Ghana ikiwa ulimi nje , mpaka sasa Ball Possession Ghana 30 % na wako nyuma kwa bao 1 , Cape Verde 70% ni dk ya 30 . Ngoja tusubiri yatakayojiri .
  2. Mjanja M1

    Kuna la kujifunza hapa kuhusu kuiga mambo

    Katika kituo cha treni, kulikiwa na wahasibu watatu kila mmoja alinunua tiketi yake. Lakini waliwaona mainjinia watatu wakinunua tiketi moja tu. Ikabidi mmoja wa wahasibu awaulize, "Nyie mpo watatu mtasafirije kwa tiketi moja tu?", "Subiria utajionea mwenyewe", anajibu mmoja wa mainjinia...
  3. R

    Tundu Lissu anasema Tanzania itarudi na kombe la AFCON 2024. Tuungane kwenye mambo ya kitaifa

    Mhe. Tundu Lisu anapasha misuli michuano ya Afrika huko Ivory Cost. Kauli mbiu yake ni moja tu TUTARUDI NA KOMBE. Nimefurahi sana kumwona yeye na familia yake wameungana na vijana wetu. Amefanya nijifunze kwamba kwamba mambo ya kitaifa mzalendo namba moja ni huyu Bwana. Anapigania rasilimali...
  4. ESCORT 1

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Tuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo. Naanza na Sabuni ya Mbuni…
  5. C

    Mambo ambavyo mwanaume unatakiwa kufanya au kutofanya

    Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
  6. Nsanzagee

    Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo? Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za...
  7. Mto Songwe

    Sherehe ya kufagia makaburi " qingming festival" wachina wana mambo!

    Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya...
  8. T

    Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi. Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama...
  9. Poppy Hatonn

    Mambo mawili yanayoleta mjadala wote wa Katiba Mpya

    Jambo la kwanza ni torture. Utesaji wa inmates ambao unafanywa na polisi pamoja na TISS. Kumkamata mtu na kumweka mahabusu au kumweka jela haionekani kwamba ni adhabu ya kutosha kuwashikisha adabu watu. Jambo la pili, watuhumiwa wa uhalifu wakati mwingine wanalawitiwa huko jela,kama sehemu ya...
  10. A

    Wabongo tunachanganya mambo ndio maana tupo nyuma kwa kila kitu

    Unakuta mataifa mengine yalioendelea jinsi wanavyojadili mambo yao kwenye mitandao ya kijamii unafurahi. Mfano wachina mtu akiweka video yake ya kuelezea kitu fulani Kwa lugha ya kichina wanaokuja kutoa maoni yao(wachina)wanatumia zaidi lugha ya kichina. Hivyohivyo kwa wakorea wanatumia lugha...
  11. Guacamole

    Unajiskiaje pale unapofanya mambo yako kwenye simu au PC halafu akaja mtoto kuangalia unachofanya

    Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya? Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia...
  12. Zee la madawa

    Niliachana na ajira nikaingia kwenye kilimo, na kweli mambo yamejipa

    Yule aliyesema ajira ni uti wa mgongo aisee hakukosea hata kidogo na kiukweli kilimo nitakiheshimu na nitazidi kukiheshimu kusema za ukweli ukubali au ukatae Baaada ya kuachana na ajira niliingia kwenye kilimo maeneo ya Mpanda mkoani Katavi.Nilienda kufanya kilimo cha mpunga. Aisee kilimo...
  13. BARD AI

    Serikali inakalia kimya matukio ya Watu kutekwa na kuuawa? Utawala uliopita mambo yalianza hivi hivi

    Kuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu. Sio sawa kwa nchi inayofuata utawala wa Sheria kukalia kimya masuala ya uhai na usalama wa raia wake. Tukumbuke...
  14. chiembe

    PreGE2025 Chadema "ikimaliza" mambo ya Mdee na wenzake ikawapa nafasi wagombee, naliona jimbo la Kawe na Bunda yakirudi Chadema kwa kishindo kitakatifu

    Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara. Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta...
  15. Rashda Zunde

    Mwaka 2024 ni wa matokeo zaidi: Haya ni baadhi ya mambo yatakayotiliwa mkazo

    Akitoa salamu za kuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alisema maneno yafuatayo, "mwaka 2023 ulikuwa ni mwaka wa mageuzi na mwaka ujao 2024 utakuwa ni mwaka wa utekelezaji na matokeo zaidi." Katika hotuba hiyo alianisha masuala mbalimbali ambayo Serikali yake...
  16. K

    Waziri Masauni Atuhumiwa Kukwamisha Maslahi Ya Askari Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kwa Maslahi Yake

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  17. Teslarati

    Kama wewe ni mpambanaji na ambitious mambo kama UTT, Bonds na Savings Accounts sio type yako, waachie waoga na watumishi

    Naongea sana mambo yasio serious humu jukwaani ila ngoja nifunge mwaka kwa kuongea sense kdg. Kuna nyuzi humu zinaongelea mambo ya UTT na Bonds, niwaambie ukweli haya mambo ili ikulipe kwa zile monthly returns ni lazima kwanza uweke hela kubwa sana, more than 500m, na incase ukiweka 1 billion...
  18. R

    Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  19. Mwizukulu mgikuru

    kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  20. S

    Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

    1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila...
Back
Top Bottom