majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Changamoto zipi umeziona kwenye kukata rufaa ya mkopo ambazo unahitaji majibu

    Habari wanajf Kuna baadhi ya changamoto hii ya kuandikiwakwenye allocation index no xxx not found imewakuta watu wengi ina maana gani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa E-Mrejesho hautoi majibu kwa malalamiko ya watu

    Pamoja na kwamba serikali imeamua kuanzisha mfumo unaowawezesha wananchi kupeleka malalamiko, maoni, taarifa ama mapendekezo kwa taasisi mbalimbali za serikali ili kuweza kuzitatua, ila mfumo huo kwa upande wangu sijaona kama unafanya kazi kama ilivyokusudiwa. Binafsi nilishawahi kuandika...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu ameingia. Makonda aaandae majibu ya vyeti, utekaji na uvamizi

    Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi. Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Making money online - Maswali na Majibu.

    Je, ni kweli unaweza kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao? Ndiyo, inawezekana kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao. Je, ni kazi gani mtu anazoweza kufanya kupitia mtandao? Ni kazi nyingi karibu kila kazi inayoweza kufanywa ukiwa mbali (remotely) inaweza kufanyika mtandaoni na...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nini kitatokea dawa ikimdhuru mtu aliyeinunua pharmacy bila cheti cha daktari? Majibu haya hapa

    Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo. Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni majibu Mujarab ( Sahihi ) ya Ali Mayai wa BMT kwa wanaohusisha Rangi za Mkapa Stadium na Ushoga ( LGBTQ )

    "Walioliibua hili ( GENTAMYCINE nawataja kuwa ni wana Yanga SC ) wana Uelewa mdogo mno wa Mambo. Rangi zote zilizopo zinawakilisha Uafrika Wetu pamoja na Rasilimali zinazopatikana na ukiangalia Kiumakini katika Rangi hizi utaona nyingi ziko hata katika Bendera yetu ya Tanzania ambao tumepewa...
  7. JamiiForums Tanzania Majibu ya nani mwenye mashabiki wengi kati ya Simba na Yanga

    Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu. Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta...
  8. JamiiForums Tanzania EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

    Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako. Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako? Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu

    BoT ACHENI MAJIBU MEPESI KWENYE MASWALI MAGUMU BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu hasa hili la upungufu wa dola kwenye mzunguko wa uchumi, Ni kweli ukosefu wa dola ni janga la kidunia lakin kama wataalamu wa uchumi tuliowapa nafasi ya kutusaidia katika maswala yote ya fedha na...
  10. JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
  11. JamiiForums Tanzania Vicky Kamata amewashika Pabaya, tunaomba mumpatie majibu sasa

    Kuna watu wanajikakamua kuongea kutokana na mihemko au kutokana Makasiriko tu. Vicky Kamata anatetea haki yake. Watanzania Tujifunze kubishana kwa hoja. Haja, wale wote wanaohisi wapo sahihi na Vicky hayupo sahihi, yunaomba majibu Yenu.
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini vifo vya Amina Chifupa na mumewe Medi Mpakanjia vilikuwa vina maswali mengi kuliko majibu?

    Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi. Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo. Miaka kadhaa baadae, mume wa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali na zahanati huwa zinawanyima majibu ya vipimo wagonjwa wanaoshindwa kununua dawa kwao

    Serikali kupitia Wizara ya Afya na TAMISEMI komesheni hii tabia kwenye baadhi ya hospitali na zahanati zinazowanyima majibu wale wagonjwa wanaofika kupima katika hospitali zao! Wagonjwa hulipia gharama za vipimo kama kawaida, lakini inapofika hatua ya kupatiwa majibu nakala huwa hawapewi...
  14. JamiiForums Tanzania Photoshop editing requests na majibu yake

  15. JamiiForums Tanzania Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

    Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi. Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: No Research no right to speak. Hayo ndo majibu ya Waziri kwa wastaafu

    Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu. Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
  17. JamiiForums Tanzania Waraka umeanza kuleta Majibu

    Wakati Majujee wanaendelea kuwehuka badala ya kusoma hoja, taratibu wengine wanaanza kurudiwa na fahamu. Sitakua na cha kuongea, bali mjionee.
  18. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Shemasi ‘George Rugambwa’ awauliza maswali sita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    Kuna ujumbe unasambazwa WhatsApp, una kichwa kinachosema Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) je, ni wa kweli?
  19. JamiiForums Tanzania Majibu kwa Lord Denning kuhusu tamko la TEC juu ya mkataba wa Uwekezaji kati ya Tanzania na Dubai

    https://youtu.be/R1zyTINo6kQ Rafiki yetu Lord Denning ameuliza maswali kadhaa kuhusu tamko la TEC kwenye uzi unaopatikana HAPA. Nasi kwa hapa chini tumeamua kumjibu point counter point. 1. Lord Denning ameuliza: Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Majibu Yana Maana Gani haya???!

    Naomba kujua maana ya majibu hayo kwenye hiyo attachment.Yaani ukimwi upo au haupo??!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…