Kama ulidhani Waziri mwenye majibu ya Nyodo na Dharau ni Nchemba pekee umekosea sana, msikie huyu Waziri Oryem wa Uganda

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
"Kama nchi yetu ya Uganda imebarikiwa Ardhi yenye Rutuba, Hali ya Hewa nzuri na Mazingira rafiki ya kumfanya Mkulima kwenda Shambani Kulima na akapata Chakula cha kutosha nikisikia kuna Waganda wanalia na kulalamika Njaa watakuwa ni Wapumbavu mno na hawastahili Kusaidiwa au hata kuonewa Huruma" amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Henry Okello Oryem.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia leo.

Miaka kadhaa iliyopita Waziri wa Fedha wa Tanzania Dk. Mwigulu Nchemba aliwahi kusema kuwa kama kuna Mtanzania anaona Maisha ya Tanzania ni magumu kwa kuwa na Utitiri wa Kodi na Tozo basi upesi sana ahamie nchini Burundi.

Huenda Marais wa Afrika wakawa Wanawateua Watendaji / Wasaidizi Wao ( Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ) ambao ama ni Wavuta Bangi au Wanywa Gongo au ni Maniac ( Wendawazimu )
 
Back
Top Bottom