majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hoja kuu zinazohitaji majibu kwenye mkataba huu wa bandari,hizi hapa.

    BAADHI YA HOJA KUU ZINAZOHITAJI MAJIBU KWENYE MKATABA WA BANDARI NI HIZI HAPA 1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba,Je hakuna vitu vinavyotekelezeka,ndio maana mnaita makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali haya yakipata majibu sahihi, sintofahamu ya uwekezaji bandarini itaondoka. DP World ni kampuni ya kawaida ya biashara, haina tatizo lolote

    Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe Usimamizi wa bandari sio rocket science Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani Jambo...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Toba iletayo majibu

    👇
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  5. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Shahidi alivyotoa majibu ya kufikirisha kesi ya mjane wa Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara (RPC), George Katabazi ni miongoni mwa mashahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu na tajiri wa madini Mirerani, mkoani Arusha, Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya. Leo Jumatatu...
  7. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu juu ya swali hili

    Habari wana jamvi kiukweli sielewi ni nini hasa kinaendelea lakini nikiwa kama Mtanzania nahitaji kufahamu juu ya jambo hili hasa kwa wenye ufahamu Ikiwa raisi wa Zanzibar ni Wazanzibar na raisi wa Tanzania anaweza toka Tanganyika au Zanzibar Rais wa Tanganyika ni nani? Na ikulu yake ipo wapi?
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  9. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa. Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo...
  10. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

    Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi? Kwa maendeleo ya mpira.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 aliyoyaona Luhaga Mpina Wizara ya Nishati

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 1: UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa nami...
  12. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Siku 14 zimeisha, ni yepi majibu au mapendekezo ya tume?

    Kama sijakosea 14 days zimeisha ni yepi majibu ya tume iliyoundwa kuhusu wafanyabiashara na tra?
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

    Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi. Soma pia: Uzi mkuu...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Wanaodhani CCM haiwezi kuzijibu hoja za CHADEMA/LISSU/MBOWE/MARIA SARUNGI et al majibu yao haya hapa

  15. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

    Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA. Majibu yakatoka watoto wote si wake. Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu. Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
  16. SPONSA

    JamiiForums Tanzania PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana

    Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile. Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

    Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo...... 1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania? 2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako? 3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC? 4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu bungeni

    Nimekuwa nikisikiliza maswali na majibu yanayoulizwa Bungeni na majibu yanayotolewa Bungeni kwa kweli kipindi hiki hakina tija na kinatakiwa kufutwa kabisa. Unaposikiliza majibu kwa kweli hayana mashiko na mengi hayana ukweli. Ni majibu ya kufunika kikombe na mwanaharamu apite. Mfano hai ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Majibu yangu Tukuka kwa wale Wanaonishambulia kwa Kumsema Mjane wa Mzee Mkono na Bintiye Mkubwa Leah

    1. Hamna mnachokijua hivyo tulieni tuli 2. Tayari Uzi umeshasomwa na Bi. Mkubwa 3. Nimepongezwa kwa Kulisemea hili kuliko mnavyonichukia 4. Kuanzia leo jitihada za haraka zitafanywa na Mwili kuletwa upesi 5. Uzi huu utakuwa ni Fundisho kwa Wamama Wengine 6. Najiona ni Mshindi wa Vita hii...
  20. GREAT INVESTOR

    JamiiForums Tanzania MAJIBU YA DV LOTTERY NI KESHO.

    Kwa wale mlio tuma maombi ya green card, majibu huwa yanatoka kila jumamosi ya kwanza ya mwezi wa tano ambayo ni kesho. Karibuni U.S.A the land of opportunities. Kila la kheri kwa mli apply.
Back
Top Bottom