GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,119
Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini Kisiwani Zanzibar na siyo Kivule Mkuranga Mkoani Pwani (Tanzania Bara) alikozaliwa?
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi najua huwa unanisoma sana tu GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama afanyavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan hivyo najua utaweza kujinibu kwa ID yako Kificho au hata Ndugu zako walioko hapa JamiiForums nao kwa ID zao Kificho nao wanaweza Kunijibu kwani kiukweli kwa sasa Linachanganya wengi na kuzua Hisia Mseto nyingi.