maji

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dodoma? Je, watu wa Dodoma wana maji safi ya kunywa?

    Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani katufinyanga namna hii? Ikulu ya kifahari kwa fedha za kukopa, kweli?! Embu angalia ikulu ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Pump ya kumwagilia maji 250000 TU

    Wadau ninauza pump hii hapa chini, Pump ni imara sana aina ya Robin kutoka Japan, inatumia mafuta kidogo sana . KARIBUNI
  3. X

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kuratibu mfumo wa kumwagilia maji (Irigation Controller)

    Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
  4. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

    Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu! Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka! By Msemaji wa wasio...
  5. BabuFey

    JamiiForums Tanzania DAWASCO na maji yenye tope Dar es Salaam

    Muda so baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam ukifungua maji ya DAWASCO asubuhi unakutana na tope zito. Maji haya machafu hayafai kwa lolote, hivyo mtu unamwaga mpaka lita mia moja unayolipia ndio upate masafi. Kusafisha na kutibu maji kwa kutumia Aluminium sulphate na chlorine siku hizi za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

    Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania bunge wa Jimbo la Ulyankulu Mhe. Rehema Migila Amshikia Shilingi Aweso Mpaka Ajibu Hoja ya Maji

    MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji "Halmashauri ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Igunga

    📍 Igunga, Tabora IGUNGA: TUTAFIKA MWAKA 2025 TUKIWA TUMEMTUA MAMA NDOO KICHWANI Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Vijiji na Vitongoji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila, Mwamakona, Igurubi na Kinungu. Mradi wenye...
  10. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Maji Hufuata Mkondo

    Leo tu share story mbali mbali za maji hufuata mkondo.......... Kuna rafiki yangu mmoja alikua anachukizwa sana na kitendo Cha baba yake kupiga ulabu.... Tulipo kua tunakua alituapia kua yeye hato kuja kupiga ulabu duu!! Alipo pata kazi akaanza kupiga ulabu mpk kuitwa Chapombe.....MAJI HUFUATA...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Festo Aibana Wizara ya Maji Kupeleka Maji katika Mji wa Mpanda na Mkoa wa Katavi, Kigoma na Rukwa Kutoka Ziwa Tanganyika

    MBUNGE MARTHA FESTO AIBANA WIZARA YA MAJI KUPELEKA MAJI MPANDA NA KATAVI KUTOKA ZIWA TANGANYIKA "Sisi Wananchi wa Mji wa Mpanda, Mkoa wa Katavi tuna changamoto kubwa sana ya Maji ukizingatia Mji wa Mpanda ni Mji unaokua kwa kasi na kuwa na ongezeko kubwa sana la watu. Mji wa Mpanda Serikali...
  12. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo ni kweli zile bilioni 600 za maji zilitosha?

    Picha: Prof. Kitila Mkumbo Habari Prof! Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo. Mbona leo shida ya maji bado ni kubwa sana? Ile ilitosha kwenye kitu gani au Ubungo tu? ANGALIZO...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso: Hali ya upatikanaji wa maji mjini yafikia asilimia 88

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2023/2024 ambapo amesema hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Mijini imeongezeka kutoka wastani wa asilimia 86.5 mwezi December, 2021 hadi wastani wa asilimia 88 mwezi Desemba...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Bilioni 756

    WIZARA YA MAJI YAOMBA BAJETI YA BILIONI 756 Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akisoma hoja ya bajeti Bungeni amesema Wizara ya Maji imeliomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 756,205,106,000 kwa ajili ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2023/24. Akizungumza Bungeni wakati akiwasilisha...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Maji

    Leo tarehe 10 Mei, 2023 Nitachangia Bajeti ya Wizara ya Maji nakuomba idhini ya Fedha kwa Miradi ya Jimbo la Igunga kwa Mchanganuo ufuatao; 1. Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kwenda Vijiji na Vitongoji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila, Mwamakona, Igurubi na...
  16. jastertz

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuweka kitunguu maji, saumu kwenye upishi wa chapati?

    Jamii mapishi, Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa. Je, kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tukiacha kuficha sabuni kwenye maji, tutalinda maadili yetu

    Na Gordon Kalulunga Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka. Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo Sabuni kwenye Maji nasi tunamshangaa. Katika suala la mmomonyoko wa maadili serikali ilificha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mitaro ya kupitisha maji Sinza hali mbaya

    Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa. Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
  19. aka2030

    JamiiForums Tanzania KWELI Maji yanayopatikana maeneo ya Mlima Meru yanasababisha Meno kuwa Meusi au Brown

    Je, ni kweli maji ya mlima Meru husababisha meno ya watu wa Arusha kuwa meusi kwasababu ya kuwa na asili ya Volkano?
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijiji vya Bwasi, Bugunda na Kome kuanza kupata Maji ya Bomba

    MAJI YA BOMBA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYA BWASI, BUGUNDA NA KOME KUPATA MAJI HIVI KARIBUNI RUWASA inaendelea kufanya kazi nzuri ya kutekeleza miradi ya usambazaji wa maji ya bomba kwenye vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini. Jimbo letu lenye Kata 21, lina Vijiji 68 vyenye...
Back
Top Bottom