maji

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tabata Kisukuru kero yetu kubwa ni kukosa gari la kuzoa taka na uhaba wa maji

    Mimi kero yangu au naweza kusema kero ya watu wengi huku mtaani kwetu Tabata Kisukuru ni kuwa gari la Taka halijaonekana muda mrefu na taka zimejaa kwenye nyumba nyingi mpaka zinanuka na kutengeneza wadudu. Kero nyingine ni kuwa maji ni ya shida sana yaani tunataabika kwelikweli, tupazieni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la mkataba wa bandari, safari hii lazima kelele za chura zimzuie mtu kuteka maji

    Natoa woto kwa watanzania wote kwa ujumla, safari hii watanzania tushikamane kupiga makelele kila kona hadi yafanyike mageuzi makubwa kuhusu mtazamo na mawazo ya viongozi wetu kuhusiana na mkataba mbovu sana wa bandari za Tanzania! Kwa ujumla wetu safari hii "kelele za chura lazima zimzuie mtu...
  3. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

    Wakuu, kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati. Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kahama: Akamatwa kwa kujiunganishia huduma ya maji

    IKIWA imepita siku kadhaa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama (KUWASA) kukamata mwizi wa huduma ya maji, kwa mara nyingine imemkata mkazi wa mtaa wa Mwime Manispaa ya Kahama Hamisi Omary kwa tuhuma ya kujiunganishia maji kinyemela na kusababisha mamlaka hiyo kukosa mapato...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wafadhili Kutoka Uswisi Wachimba Visima vya Maji 4 Jimbo la Ulanga, Morogoro

    WAFADHILI KUTOKA USWISI WACHIMBA VISIMA VYA MAJI 4 JIMBO LA ULANGA, MOROGORO Wakazi wa wilaya ya Ulanga wamepata visima vya maji vinne kutoka kwa wafadhili kutoka nchini Uswisi ambao wamekuwa wakifanya hivyo kila mwaka. Mwakilishi wa wafadhili hao Bi Rubab Jawad Aziz amesema hatua hiyo imekuja...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida...
  7. hp4510

    JamiiForums Tanzania Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

    Wakuu Habari za weekend Jana nimedrive gari Kwa umbali kama wa kilometres 2, Nikafungua mfuniko wa rejeta, kilichotokea ni maji kuruka Kwa nguvu Sana kama video inavyoonyesha, Maswali yangu ni kama ifuatavyo 1 shida ni Rejeta 2 shida ni engine 3 shida ni gasket 4 au shida ni feni zile za...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Uswisi Yajitosa Kutatua Changamoto ya Maji Ulanga Morogoro

    AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe Aibana Wizara ya Maji Kupeleka Visima Shule za Sekondari 2 Momba

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA MAJI KUHUSU VISIMA VYA MAJI SHULE ZA SEKONDARI MOMBA "Tarehe 12 Juni, 2023 niliuliza swali la nyongeza Bungeni kuhusu changamoto tumeipata kwenye Jimbo la Momba kuhusiana na Maji. Wanafunzi katika Shule mbili tofauti wamepoteza maisha, Shule ya...
  11. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkaguzi Mkuu wa Serikali afichua wizi wa Mabilioni unavyofanywa na Kampuni za maji

    Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali. Ripoti hiyo imebaini kwamba licha ya kuwa ni jukumu la ugatuzi, kampuni za maji na usafi katika mikoa mingi...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

    Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza. Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  14. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Idara zote za Maji tuwape DP World kuongeza ufanisi

    Tumewafukuza wamasai Loliondo ili kuwapa waarabu kupaendeleza, tupo kwenye hatua za mwisho kuwapa DP World bandari zote za Tanganyika kuziendeleza, kuna tetesi kuwa misitu yote pia tumewapa watusaidie. Nashauri tuwape wizara ya maji na wizara ya nishati ili watusaidie pia kusambaza maji ya...
  15. Blender

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

    Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa. Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Japan yapuuza maslahi ya nchi nyingine kwa mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyuklia baharini

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki. Mwaka 2011...
  19. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Tunauza Water pumps za Solar

    Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa. Bei. Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000. 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000 2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150. 0747591578...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Huduma za Maji zimepoteza Trilioni 6

    SERIKALI imesema ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2023, imeonyesha nchi inapoteza Sh. trilioni tano hadi sita kila mwaka kutokana na upatikanaji hafifu wa huduma za maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati...
Back
Top Bottom