maji

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ndege ya Malaysia iliyopotea miaka 9 iliyopita yaonekana ndani ya maji ikiwa haina abiria

    Salaam Wandugu, Nimepata taarifa mtandaoni kuwa ndege ya Malaysia iliyopotea miaka tisa iliyopita imekutwa kwenye maji ikiwa haina abiria. Habari hiyo ilichapishwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Twitter linaonesha picha ya mbele ya ndege yenye kutu inayosomeka: “Ndege ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi akomaa na mradi wa maji uliokwama wa Kifura, sasa kuanza kutoa huduma Agosti 31

    DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete kuwasemea wananchi wake pamoja na kutatua kero zao ili kusukuma maendeleo yao ambapo sasa amekomaa...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Magesa akemea upotoshaji mradi wa maji Chamkolongo

    MHANDISI MAGESA AKEMEA UPOTOSHAJI MRADI WA MAJI CHANKOLONGO Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhandisi Tumaini Magesa amewatoa hofu wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro juu ya mradi wao wa maji wa Chamkolongo unaondelea kutelekelezwa kwani umefikia hatua za mwisho kumalizika na kupuuza maneno...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maji Bwawa la JNHPP Yafikia Ujazo wa Mita Bilioni 6

    MAJI BWAWA LA NYERERE (JNHPP) YAFIKIA MITA ZA UJAZO BILIONI 6 Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema wanaridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere Hydro Power (JNHPP) ambapo kwa sasa ujazo wa maji umefika mita za ujazo Bilioni 6. “Zimebaki mita kumi...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

    Hii ni ile noah iliyozama ilikuwa na watu sita wawili wamepona, watatu wamepatikana wamefariki, mtoto mmoja hajaonekana sijui kapelekwa na maji hadi wapi ======= Watu wanne wamepoteza Maisha na wengine wawili kunusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya NOAH T 499 DMY kusombwa...
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mvua zinanyesha lakini Maji hayatoki

    Mwanzo nilidhani Maji kutokutoka yawezekana ilikuwa ni upungufu wa maji kama tulivyokuwa tukiambiwa na Viongozi tuliowapa dhamana kumbe haikuwa hivyo zilikuwa ni porojo za wendawazimu. Kila mahali kwa sasa mvua zinanyesha na mto Ruvu umejaa maji tele lakini jambo la kuiskitisha ni kwamba maji...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

    Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani. Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida. Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Wanafunzi almanusura wasombwe na maji wakivuka mto kuelekea shule

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Lemara pamoja na shule ya msingi Lemara zote za serikali wamenusurika kusombwa na Maji ya mto Themi wakati wakienda shule. Mwaka jana wanafunzi watatu wa shule ya msingi Lemara waliokolewa baada ya kuzidiwa na maji wakati wakivuka mto huo kwenda...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijiji Vyote 68 Vina Miradi ya Maji Safi na Salama

    MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYETU VYOTE 68 VINA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA Miradi hiyo ya maji iko kwenye hatua mbalimbali kama ifuatavyo: *Vijiji 2 vinatumia maji ya visima virefu *Vijiji 32 tayari vinatumia maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria. Usambazaji unaendelea ndani ya vijiji hivyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa zamani wa maji yakimwagika hayazoleki, nitaupata wapi?

    Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu... Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu Mwenye kujua kuna la huo wimbo, ulikua popular Kwenye early 2000's
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wanasayansi wamebadilisha Gia angani kuhusu nini chanzo cha uwepo wa maji Duniani

    https://www.yahoo.com/news/no-asteroid-impacts-needed-newborn-210053397.html
  13. J

    JamiiForums Tanzania Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

    Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji". Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita...
  15. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatangaza kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu Jumamosi April 15

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023. Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukimeza kidonge kwa maji ya baridi sana, kidonge hakifanyi kazi

    Hivi ni kweli kuwa mtu anapomeza vidonge kwa maji ya baridi sana ya friji, vidonge hivyo haviwezi kufanya kazi?
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bilioni 4.7 Wasainiwa Kuleta Maji Safi na Salama Kata ya Mugango na Tegeruka Jimbo la Musoma Vijijini

    MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha kazi ya mradi wa Maji Kata ya Mugango na Tegeruka kwa kuzingatia muda wa mkataba. Kauli hiyo ya...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wapya wa huduma ya maji Manispaa ya Morogoro hawajapata huduma kwa kuwa MORUWASA hawana mita za ziada

    Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira MORUWASA inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mita. Mamlaka ziangalie kuhusu hili...
  19. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Afya kwa kukabiliana na uvumi wa maji ya ajabu Micheweni

    Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo". Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli...
  20. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yajaribu mfumo wa droni za kimkakati za chini ya maji

    Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia. Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi imesema taasisi ya taifa ya utafiti wa sayansi ya ulinzi ilifanya jaribio hilo kwa siku nne hadi jana...
Back
Top Bottom