Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
901
1,334
Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.

Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida povu halitoki kabisa.

Hii nchi Bado sana. Viongozi hawana uchungu kabisa na wananchi.
 
Mtoa hoja umenikumbusha kuhusu wilaya hii, vipi kule Mloka je maji Safi na salama wamepata?
 
Kote ni shida. Kijiji Cha marumbo hata maji ya kunywa hayapo. Ukitaka kuoga inabidi ununue maji ya chumvi na unaoga some parts labda miguu au mikono kwa kutumia sabuni ya unga

Hizo siyo kazi za Mbunge. Kwani Kisarawe hawana Halmashauri? Si ndiyo palipompatia sifa Jokate na yule nani sijui waliemhamishia Kibaha?
 
Kote ni shida. Kijiji Cha marumbo hata maji ya kunywa hayapo. Ukitaka kuoga inabidi ununue maji ya chumvi na unaoga some parts labda miguu au mikono kwa kutumia sabuni ya unga
Mbona hata hapa mpwapwa Dodoma,hali ni hyo hyo maji chumvi
 
Kwani kwenye Sheria tunajifinzia kuandika au tunajifinzia sheria! Kwani mi darasa la kwanza mpaka nilembe mwandiko. Siyo kazi yangu hiyo nikifanya darasa la kwanza
Kwa hiyo na wewe ni Mwanasheria? Kama hata kuandika hujui, utaweza kuielewa Katiba kweli?
 
Apewe Mwarabu hilo jimbo lake kwani kule kwao ni jangwani kabisa ila raia wanapata maji safi laini ya kutumia.
 
images - 2023-06-08T222105.456.jpeg
 
tatizo la mbunge kugombea jimbo ambalo makazi yake kama sio dar,dodoma au hapo kwao maisha ni tofauti na wananchi wake
 
Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana.

Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida povu halitoki kabisa.

Hii nchi Bado sana. Viongozi hawana uchungu kabisa na wananchi.
Sio kwa jafo tu, hata ukienda kwa mawaziri wengine hali ni hiyo, ukienda kwa makamu hata raisj hali ni hiyo
 
Halafu Bado mnataka eti tuendeshe bandari sisi wenyewe wakati hata maji hatuwezi wakati tumezungukukwa na mito na maziwa. Umaskini unetujaa mpaka matakoni halafu ubishi mwingi sana eti dp world wasitudaidie.
Kwa nini tukimbilia bandari ikiwa kila sehemu hatuwezi? Si tuwape serikali yote
 
Back
Top Bottom