maji

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwili wa mtu wakutwa ukielea kwenye maji, siku chache tangu Mwenyekiti wa CCM aliposema 'Mkoa wa Simiyu hali si shwari'

    Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo. Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RUWASA Yaendelea Kufanya Vizuri Musoma Vijijini: Mradi wa Maji wa Chumwi-Mabumerafuru Unaenda Vizuri

    RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 zenye jumla ya Vijiji 68 limezungukwa na Ziwa Victoria. Utekelezaji wa Mradi wa maji ya...
  3. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji; CAG hujatupatia ubadhilifu wa mradi huu

    Habarini ndugu? Kuna mwenye taarifa za ripoti ya CAG katika eneo hili la huu mradi? Hawa WAHUJUMU UCHUMI tangu bunge hili DHAIFU lilipopitisha bajeti ya mradi huu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bado HAKUNA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA HADI SASA. Wavuvi tumeendelea kupigwa "BLAH BLAH" tu tangu mwezi...
  4. McCollum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa sote kubeba jukumu la kutunza Rasilimali za Maji

    Mamilioni ya watu duniani kote hawana ufikiaji wa kutosha wa mojawapo ya vitu muhimu zaidi katika maisha - yaani maji safi. Ingawa serikali na taasisi za kimataifa zimesaidia wengi wanaoishi katika maeneo yenye tatizo la maji kupata huduma kwa kadiri inavyowezekana, bado tatizo hilo linatarajiwa...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Makamabda wa Chadema wakifakamia matikiti maji na kujipoza .

  8. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji baadhi ya maeneo Wilaya ya Ubungo

    UKOSEFU wa maji kwa wakazi wa Kimara, Stop Over, Suka, Bwawani, Mji mpya na mitaa mingine mbalimbali ya Dar es Salaam kwa muda usiopungua siku 3 mfululizo bila taarifa rasmi. Katika sehemu ya TAARIFA ya DAWASCO kuna mitaa ambayo imetajwa kukosa maji n katika mitaa hiyo mitaa niliyoitaja hapo...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho hakuna huduma ya maji kwenye vyoo na sehemu nyingine siku ya tatu sasa

    Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa. Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie Kwenye vyoo napo mambo si...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikataza maji na umeme kukatika

    Pamoja na mvua kunyesha maeneo ya Pwani bado maeneo mengi hakuna maji; it's like kuna mgao zaidi ya mwezi sasa. Ila magari yakuuza maji yanaongezeka mjini that means wapo watu wanahujumu juhudi za serikali kusambaza maji ili wao wauze maji. Matokeo yake ni haya kila siku Bomba limepasuka ...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

    Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso, huku ni wapi? Miaka 61 baada ya Uhuru ndiyo tulikofikia?

    Aweso Angalia hii video utuambie miaka 61 baada ya Uhuru ndipo tulikofikia?
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Songea Kunufaika na Mradi wa Maji wa Bilioni 145

    NW MAJI ENG. MARYPRISCA MAHUNDI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA - SONGEA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA 145 BILLIONI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) tarehe 10 Machi, 2023 akiwa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ameshuhudia utiaji saini mkataba mradi mkubwa wa Maji wenye...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea baada ya Watanzania kupitia Ukame na Maji yakawa ni Mgawo sasa tungekuwa busy Kuvuna Maji tusijetaabika tena

    Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Maji yashamiri jijini Dar es Salaam. Maji yanatoka siku tatu halafu yanakatika mwezi mzima

    Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka. Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000...
  17. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma

    Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma Wafanyakazi 200 katika mradi wa chanzo cha maji Butimba wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamegoma kwa kile kinachotajwa wameshindwa kulipwa mishahara yao. Mradi huo unaojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 60, lakini wafanyakazi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Korogwe vipi suala la maji?

    Ni siku ya 18 Sasa maji hayatoki kabisa hapa Korogwe! Lakini ukiangalia kwa karibu Kuna mto uko hapa ambao haukauki lakini Maji ni mtihani! CCM oyee
  19. R

    JamiiForums Tanzania TANGAUWASA fuateni ratiba ya mgao wa maji mlioueka

    Fine mmeweka ratiba, ifuateni basi. Leo 24/2 maeneo kama yalivyooneshwa kwenye ratiba hakuna maji kabisa. Everything is in shamble!
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umezimwa tena kwa Matengenezo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mtambo huo umezimwa kuanzia leo Februari 23, 2023 hadi saa 6 usiku Februari 24, 2023 Maeneo yanayoathirika ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu...
Back
Top Bottom