Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu Benjamin Netanyahu.
Spika wa sasa Yuli Edelstein wa chama cha Likud cha Netanyahu alikuwa amepuuzilia...
Meya Boniface Jacob ni mmoja kati watu 15 waliofikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi hii leo.
Bado haijajulikana wanashtakiwa kwa kosa gani.
Wametoka Kituo cha Polisi Stakishari
======
UPDATE:
Kwenye hati ya mashtaka inaonekana kesi itakuwa washtakiwa 29.
Wabunge watatu wa CHADEMA...
Ameandika Zitto Kabwe:
"Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba. Jaji Lameck Mlacha ametoa hukumu hiyo katika hukumu ndogo kwenye shauri nililofungua kumshtaki Rais @MagufuliJP kwa kumvua uCAG Prof. Assad. Shauri la msingi...
Katika kuthibitisha hoja hiyo, nitafanya rejea kesi ya Mbowe na wenzake.
UTHIBITISHO WA I
Kesi iliyodumu zaidi ya miaka miwili na hukumu yake yenye urefu wa kusomwa masaa 4 aliweza kuchambua ushahidi wa mashahidi wote, kutafuta kesi za rejea na kufanikiwa kuiandika yote katika masaa 5...
Serikali bila kujua imeharibu kabisa imani ya wananchi kwa mahakama na vyombo vya usalama. Sababu kubwa iliyosababisha ni kuingiza siasa kwenye hivi vyombo muhimu.
Kwanza kwenye mahakama JK amechagua majaji ambao hawakuwa mahakimu na wengi kuona hakuna umuhimu kuwa hakimu kama majaji...
Wanabodi,
Hukumu ya mahakama ya Kisutu dhidi ya viongozi wa Chadema imeibua mengi, yakiwemo mazuri, mabaya, na mengine ni ya kawaida.
Miongoni mwa mambo mabaya ya ajabu kuhusu kesi hii, ni waliofyatua risasi kumuua Aquiline ni wengine na hawakushitakiwa, walioshitakiwa ni wale walioandamana...
Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe...
Inapotokea kuna uhitaji wa kutekeleza miradi miwili mitatu ya maendeleo , mfano ukarabati wa barabara za mitaani au madaraja madogo madogo yasiyohitaji zaidi ya bilioni 1, nadhani pangekuwa panafanyika coordination na mahakama ili kuangalia ni nani na nani (wenye kesi na wenye uwezo wa kulipa...
Penye ukweli watanzania lazima tuseme.
Pongezi nyingi Sana kwa Mahakama za Tanzania na watumishi wake haswa Mahakimu,waendesha mashtaka,karani na wengineo.Hakika mnastahili kuwa hapo.
Pongezi kubwa zaidi na za kipekee ziende kwa Jaji Mkuu wa Tanzania unafanya kazi kubwa sana,sote tunajua kazi...
Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imefuta mashataka yote yaliyokuwa yakimkabili Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa aliyeshtakiwa na Mpelelezi wa Masuala ya Rushwa, Busisiwe Mkhwebane.
Alimshtaki Rais huyo kwa kulidanganya Bunge kuhusu matumizi ya fedha hizo. Pia alitaka Rais achunguzwe kwa tuhuma...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa mabaya tushukuru, huwezi jua, hii hukumu ya kina Mbowe japo imegeuzwa ni mtaji, lakini tushukuru. What...
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...
Kenya Airways’ decision to suspend employee Gire Ali has been voided by a Nairobi court after he moved to court to challenge the move.
At the same time, the court also stopped the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) from arresting and charging Mr. Gire.
Gire, an Assistant...
ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million
THURSDAY FEBRUARY 27 2020
By The Citizen Reporter.
Dar es Salaam. Air Tanzania (ATCL) has suffered a blow after a United Kingdom court ruled that it will have to pay a Liberian company $30.1 million (Sh69.23bn) in compensation for an aborted...
Jana mida ya saa sita mchana ofisini kwa Kamishna mkuu wa TRA alipokea taarifa kutoka kwa watumishi mwenzake sio wa mamlaka ila mtumishi wa umma akimueleza kwamba kuna wateja walitaka kumuona, wana maswala yao ya kikodi wakidai kwamba wamewakadiria kodi kubwa kuliko wanavyopaswa kulipa kwa hiyo...
DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, mahakama nayo imeridhia.
Ni jambo la aibu kuwa DPP anamkamata mtu anamfungulia mashtaka yasiyo na dhamana kisha kila mshtakiwa akipelekwa mahakamani DPP anaiambia mahakama kuwa upelelezi haujakamilika. Aibu yako kubwa wewe DPP usiye hata na chembe ya...
Heshima kwenu wakuu,
Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari.
Tutatoa updates kwa kila kinachojiri.
====
UPDATES:
Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60) kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kujipatia Sh116 milioni kwa njia ya udanganyifu.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano Februari 19 , 2020 na Hakimu mwandamizi, Vicky Mwaikambo baada ya...
Ona jinsi huyu Jaji namba 62 alivyokosa uzalendo kwa nchi yake,ni majuzi tu kijana mchapakazi,mnyenyekevu,muadilifu,higly intelligent RC Gambo alitoa amri kwa Jeshi la Polisi kuwakamata watanzania wanaotumiaka na mabeberu kuhujumu uchumi wa nchi kwa ku post kinachodaiwa eti ni barabara mbovu...
Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam.
Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.