Tanzia: Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu Elias Kazimoto afariki Dunia

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,641
2,000
FB_IMG_1581971858008.jpg

Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam.

Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985
 

Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
12,978
2,000
Pole sana kwa Vicent Kazimoto tulimaliza nae Mwakaleli high school 1995Sent from my iPhone using JamiiForums
 

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,503
2,000
Wafiwa poleni saana.
Narudia tena kifo ni mawaidha au ni mafundisho kwa sisi tuliobakia,tufanye kila kitu kibaya au kizuri,siku ikifika haitozidi dakika wala sekunde tutakufa na kusingizia maradhi,ajali ya gari,kulogwa nk..nk...kuwa ndiyo sababu ya kifo,sasa basi tufanyeni ibada na tutende aliyetuamrisha Mwenyezimungu na tuyaache aliyotukataza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom