mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu Elias Kazimoto afariki Dunia

    Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam. Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua shauri la kikatiba kuhusu Ibara ya 46(3) Inayoenda kinyume na ibara 13(1) katika mahakama Kuu ya Tanzania

    Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao. Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

    Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi mzee Rugemalira amesema yeye hajalipwa fedha yoyote kutoka account ya Escrow bali alilipwa na PAP. Rugemalira amesema amemuandikia barua Gavana wa benki kuu Prof. Luoga kumtaka awataje hadharani wanufaika wote wa Escrow ili taifa liwajue. Gavana amesema atawataja...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Malawi: Baada ya Mahakama kubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu, Rais Peter Mutharika atangaza kukata rufaa

    Rais wa Malawi, Peter Mutharika amekosoa uamuzi wa Jumatatu wa Mahakama ya Kikatiba kuwa ulikuwa wenye kujaa dosari ambazo zilipaswa kurekebishwa. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa kwa hukumu, Mutharika ameshutumu mahakama kwa kushambulia demokrasia ya nchi hiyo. Mapema Alhamisi...
  5. Kenyan

    JamiiForums Tanzania Malawi: Mahakama ya Katiba yabatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa nchi hiyo uliofanyika Mei 21 mwaka 2019

    Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo. Wananchi wametanda mitaani na kulipuka kwa shangwe kusherehekea uamuzi huo wa mahakama. Uchaguzi utarudiwa ndani ya siku 150 kuanzia...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kenya yazuia usajili wa vidole

    Mahakama Kuu Kenya imesitisha kutekelezwa kwa mfumo wa usajili wa wananchi kwa njia ya alama za vidole hadi hapo sheria ya kulinda taarifa itakapopitishwa. Mbali na kuzuia utekelezaji huo, mahakama imesema kuwa kukusanya taarifa za eneo (GPS) na vinasaba (DNA) ni kinyume na katiba ya nchi...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yasitisha zoezi la kuchukua taarifa za fingerprints za watu

    My Take: Hizi ni aina za mahakama zinazotambua vyema wajibu wake wa kulinda haki za watu. Hizi information zikiwa ploriferated huna pa kukimbilia maana fingerprints ndiyo password yako usiyoweza kuibadili
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatoa maelekezo maridhiano familia Bilionea Msuya

    Mahakama Kuu kanda ya Arusha imetoa miezi kwa pande mbili za familia za aliyekuwa mfanya biashara Marehemu Erasto Msuya maarfu kama Bilionea Msuya zenye mgogoro wa kugombea mali zilizoachwa na Bilionea huyo kukaa meza moja kuondoa tofauti. Kadhalika, Mahakama hiyo imezielekeza pande hizo...
  9. Mk54

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, hili la Kangi Lugola hujatenda haki. Sheria ya Uhujumu Uchumi inawahusu wananchi tu?

    Kwa Masikitiko Makubwa Kabisa! Japo Waziri wa Mambo ya Ndani aliamua kujitoa akili na kuonesha Immaturity mbele ya kadamnasi kwa kuongea vitu ambavyo kimsingi alikuwa akijielewa mwenyewe. Hata hivyo, halikumzuia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

    Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa CHADEMA ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama. Mdee amesema alienda Afrika Kusini kupata matibabu baada ya...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa. Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa mahakamani leo, kesi yao yaahirishwa kutokana na upelelezi kutokamilika

    Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Januari 7, 2020 wakikabiliwa na mashitaka matatu likiwemo la utakatishaji fedha. Aidha, awali Tito Magoti na mwenzake walisomewa mashitaka matatu likiwemo la utakatishaji fedha kiasi cha shilingi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama ya Mafisadi mpaka Mahakama ya Kusamehe Mafisadi...!

    Watu wanaitazama Tanzania kwa jicho lingine. Labda huu nao ni ubunifu wa Utawala na pengine ni mafanikio miongoni mwa mafanikio. Watawala walianza na kile kilichoitwa kutumbuwa mafisadi na kuwasekwa ndani waliotuhumiwa. Mara ikaundwa mahakama ya Mafisadi na kutangaziwa kiama mafisadi wote...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu ameiabisha Mahakama na kuwakosea watanzania

    Juzi zilitoka habari kwenye mitandao kuwa jaji mkuu wa Tanzania anawalaumu wapelelezi wa kesi mbalimbali kuwa ndio wakutupiwa lawama kwa mlundikano wa wafungwa na kuahirishwa kwa kesi mbalimbali na mahakama. Tena alienda mbali na kuwalaumu kuwa huwa wanaotoa sababu za Hovyo na zisizo na...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu achukizwa na wapelelezi wanaokamata mtuhumiwa kabla ya kukamilisha upelelezi

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza. Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Sudan imewahukumu Maafisa Usalama kifo kwa kumtesa na kumuua mwalimu

    Ahmad al-Khair, 36, alikufa wakati ameshikiliwa na maafisa hao baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumtoa Rais Omar al-Bashir madarakani. hii ni moja ya kuhumu za mwanzo kabisa kutolewa mara baada ya machafuko ya kuleta utawala wa demokrasia nchini Sudan. Hakimu anasema kuwa hukumu hizo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ahoji uhalali wa mashtaka ya Tito Magoti na kuishangaa mahakama kukubali mashtaka yaliyotolewa

    Ni kupitia mtandao wa Twitter ambako ameandika hivi: "@judiciarytz kweli Hii ni CHARGE SHEET? Mnakubali mtu afungwe milele bila ya dhamana na kesi kusikilizwa kwa CHARGE SHEET iliyekuwa hainosje OFFENCE? Hiyo COMPUTER PROG ya aina gani? Inakinzana na sheria gani? blame the judiciary for...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICC kuichunguza Israel. Marekani yawatetea, Israel nao wajibu kwa kuukaribisha uchunguzi huo

    Waziri wa Mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo amesema nchi yake inapinga vikali uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu Kivita ICC wa kufungua uchunguzi dhidi ya uhalifu unaotuhumiwa kufanywa na Israel. Pompeo amesema hatua hiyo iliyotangazwa jana na mwendesha mashtaka mkuu wa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamua kuwa ukahaba si uhalifu Nigeria

    Mahakama kuu jijini Abuja imetangaza kwamba ukahaba sio uhalifu nchini Nigeria. Uamuzi huo umejiri katika kesi iliyokuwa inashirikisha wanawake 16 waliokamatwa kwa kufanya ukahaba. Ni mara ya kwanza kwa mahakama ya Nigeria kuamuru kuhusu uhalali wa biashara hiyo ambayo inazidi kuonekana kuwa...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC wameona kitu cha maana cha kutuonyesha mubashara ni ufunguzi wa mahakama Chato na wala sio mkutano mkuu wa Chadema!

    Tunavyofahamu ni kuwa chombo cha habari cha TBC ni cha Watanzania wote na kinagharamiwa uendeshaji wake na kodi za wananchi wote, wana CCM na wana Chadema. Kwa hiyo ni wajibu wa Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba, kuangalia ni kitu gani kina umuhimu mkubwa kwa Taifa na kukionyesha mubashara bila...
Back
Top Bottom