Mahakama Jijini Nairobi yafuta uamuzi wa Kenya Airways kumsimamisha kazi Mfanyakazi aliyerekodi Ndege ya Wachina ikitua JKIA

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kenya Airways’ decision to suspend employee Gire Ali has been voided by a Nairobi court after he moved to court to challenge the move.

At the same time, the court also stopped the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) from arresting and charging Mr. Gire.

Gire, an Assistant Security Agent at Kenya Airways moved to court on Monday seeking court orders to void the letter suspending him from work until the hearing and determination of the case.

Similarly, he south orders restraining the prosecuting agency from arresting, arraigning and/or charging him.

Gire alleges that Kenya Airway seems to be keen on punishing him for exposing to the nation a threat to their lives.

He told court the decision to suspend him was made in bad faith and in brazen violation of public interest and the applicant is suffering while as he never contravened any rules and regulations of the 1st Respondent.

He also argues that he is facing imminent threat of arrest and arraignment before a criminal court to answer to criminal charges of terrorism.

"That the charges preferred against the Applicant/Petitioner arise out of an alleged act of video recording of China Southern Airline Aircraft at Jomo Kenyatta International Airport and circulation of the video clip on social media on 26th February 2020,” read the court papers.

Source: Citizen
 
Kenya hongereni mahakama zenu ziko huru siyo kama za Tazania!
IMG_20200217_164247_963.jpeg
 
Apo nimewaheshimu,vp kuhusu mafisadi wanaolitafuna hilo taifa lenu mahakama imewashindwa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Mafisadi wanashughulkiwa kila mmoja ila kwa kuzingatia sheria, rais hatoi muongozo nani asamehewe sijui eti akirejesha hela...
Kuna kamata kamata zinaendelea, kwa sasa hofu ya hela za umma imeanza kuwaingia watumishi wote maana hata ukiwa na ukaribu gani na rais, unakamatwa na kupelekeshwa, hana jeuri wala uwezo wa kukulinda.
Mawaziri wanalamba jela huku wakiburuzwa mahakamani, magavana hawajasazwa, yaani DCI ameingiwa na ukichaa fulani hivi....
 
Mafisadi wanashughulkiwa kila mmoja ila kwa kuzingatia sheria, rais hatoi muongozo nani asamehewe sijui eti akirejesha hela. Kuna kamata kamata zinaendelea, maana hata ukiwa na ukaribu gani na rais, unakamatwa na kupelekeshwa, hana jeuri wala uwezo wa kukulinda.
Magavana hawajasazwa, yaani DCI ameingiwa na ukichaa fulani hivi.
Nakumbuka nyuso za kina John Gakuo, mwanasiasa mashuhuri ambaye alikuwa Town Clerk wa jiji la Nairobi na wenzake PS kwenye wizara ya Lands Sammy Kirui na Legal Secretary wa jiji la Nairobi. Walipohukumiwa kutumikia kifungu cha miaka mitatu na mahakama na faini ya mamilioni ya hela juu yake. Baada ya wao kupatikana na hatia kwenye ufisadi wa sakata la mashamba ya makaburi jijini Nairobi.
73E24FDC-1FCB-4633-95BA-95EF506842EA.jpeg
Jambo ambalo lilisababisha Gakuo afe akiwa korokoroni. Mahakama za Kenya ndio 'the last frontier' kwenye vita dhidi ya ufisadi nchini Kenya.
 
Nakumbuka nyuso za kutamausha za kina John Gakuo, mwanasiasa mashuhuri ambaye alikuwa Town Clerk wa jiji la Nairobi na wenzake PS kwenye wizara ya Lands Sammy Kirui na Legal Secretary wa jiji la Nairobi. Walipohukumiwa kutumikia kifungu cha miaka mitatu na mahakama na faini ya mamilioni ya hela juu yake. Baada ya wao kupatikana wana hatia kwenye ufisadi wa sakata la mashamba ya makaburi Nairobi.
73E24FDC-1FCB-4633-95BA-95EF506842EA.jpeg
Jambo ambalo lilisababisha Gakuo afe akiwa korokoroni. Mahakama za Kenya ndio last frontier kwenye vita dhidi ya ufisadi.

Sasa hivi watu wameingiwa na hofu ya hela za umma, kuna mradi tumepoteza sehemu, tulikua tunafanya lobbying ya kufa mtu, gavana fulani akawa anahudhuria vikao vyetu na kuanza kushinikiza tupewe dili, maana alipendezwa na kazi yetu, sema ghafla akachomoa na kusema tupitie ushindani wa manunuzi kwa kuzingatia taratibu zote, hii ilitokea baada ya hizi kamata kamata, aliingiwa na hofu na kujitoa kabisa kwenye uhusika wowote.
Japo tulipoteza kwenye ushindani lakini kwa mara ya kwanza nilfurahi kuona nchi yetu inakokwenda, yaani hamna cha upendeleo wala mitandao na connections za wakuu, ukiwa na wazo au bidhaa ambayo inakidhi vigezo vyote, una uhakika kwenye soko.
 
Kenya Airways’ decision to suspend employee Gire Ali has been voided by a Nairobi court after he moved to court to challenge the move.

At the same time, the court also stopped the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) from arresting and charging Mr. Gire.

Gire, an Assistant Security Agent at Kenya Airways moved to court on Monday seeking court orders to void the letter suspending him from work until the hearing and determination of the case.

Similarly, he south orders restraining the prosecuting agency from arresting, arraigning and/or charging him.

Gire alleges that Kenya Airway seems to be keen on punishing him for exposing to the nation a threat to their lives.

He told court the decision to suspend him was made in bad faith and in brazen violation of public interest and the applicant is suffering while as he never contravened any rules and regulations of the 1st Respondent.

He also argues that he is facing imminent threat of arrest and arraignment before a criminal court to answer to criminal charges of terrorism.

"That the charges preferred against the Applicant/Petitioner arise out of an alleged act of video recording of China Southern Airline Aircraft at Jomo Kenyatta International Airport and circulation of the video clip on social media on 26th February 2020,” read the court papers.

Source: Citizen

Aisee, nimeipenda sana hii, Kenya kwa hapa mmetuzidi sana
 
Sasa hivi watu wameingiwa na hofu ya hela za umma, kuna mradi tumepoteza, tulikua tunafanya lobbying ya kufa mtu, gavana fulani akawa anahudhuria vikao vyetu na kuanza kushinikiza tupewe dili, maana alipendezwa na kazi yetu, sema ghafla akachomoa na kusema tupitie ushindani wa manunuzi kwa kuzingatia taratibu zote, hii ilitokea baada ya hizi kamata kamata, aliingiwa na hofu na kujitoa kabisa kwenye uhusika wowote.Japo tulipoteza kwenye ushindani lakini kwa mara ya kwanza nilfurahi kuona nchi yetu inakokwenda, yaani hamna cha upendeleo wala mitandao na connections za wakuu, ukiwa na wazo au bidhaa ambayo inakidhi vigezo vyote, una uhakika kwenye soko.
Itabidi utamaduni huo wa mafisadi kujiona watakatifu ambao wapo mbali na mkono wa sheria ufifie kabisa. Ulikita mizizi kwa kiasi kikubwa wakati wa utawala wa dikteta Moi. Ingependeza zaidi kama tungepata mahakama maalum ya kusikiza kesi za ufisadi, ili mafisadi wote washughulikiwe bila kupoteza muda.
 
Nyumbani hata MTU akipiga picha barabara mbovu ili itengenezwe anatakiwa akamatwe yeye na wote walio sambaza kwa vile 'wanaichafua nchi' badala ya kusambaza picha za ndege za ATCL, madaraja mapya na ujenzi wa reli.
cc;
Pascal Mayalla
MsemajiUkweli
Wakudadavuwa
Salary Slip
Kwa nini kelele zisipigwe mfumo wa haki na upashanaji habari ukaigwa toka jirani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hapa Tanzania juzi Mahakama imeamuru aliyekuwa Katibu wa CWT ndugu Oluoch arudi kazini na Utumishi wametii hivi tunavyoongea kesharurudi kazini.
 
Utawala unaozingatia sheria na miongozo ya kikatiba, hanyanyaswi mtu wala kukomolewa.
Safi sana Mahakama za Kenya..zipo HURU kiukweli..
Ingekuwa Tanzania hapo Hakimu/Jaji lazima aamue kesi kutokana na maelekezo kutoka kwa Mzee Meko Jiwe.
 
Back
Top Bottom