mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Sudan imewahukumu Maafisa Usalama kifo kwa kumtesa na kumuua mwalimu

    Ahmad al-Khair, 36, alikufa wakati ameshikiliwa na maafisa hao baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumtoa Rais Omar al-Bashir madarakani. hii ni moja ya kuhumu za mwanzo kabisa kutolewa mara baada ya machafuko ya kuleta utawala wa demokrasia nchini Sudan. Hakimu anasema kuwa hukumu hizo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ahoji uhalali wa mashtaka ya Tito Magoti na kuishangaa mahakama kukubali mashtaka yaliyotolewa

    Ni kupitia mtandao wa Twitter ambako ameandika hivi: "@judiciarytz kweli Hii ni CHARGE SHEET? Mnakubali mtu afungwe milele bila ya dhamana na kesi kusikilizwa kwa CHARGE SHEET iliyekuwa hainosje OFFENCE? Hiyo COMPUTER PROG ya aina gani? Inakinzana na sheria gani? blame the judiciary for...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICC kuichunguza Israel. Marekani yawatetea, Israel nao wajibu kwa kuukaribisha uchunguzi huo

    Waziri wa Mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo amesema nchi yake inapinga vikali uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu Kivita ICC wa kufungua uchunguzi dhidi ya uhalifu unaotuhumiwa kufanywa na Israel. Pompeo amesema hatua hiyo iliyotangazwa jana na mwendesha mashtaka mkuu wa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamua kuwa ukahaba si uhalifu Nigeria

    Mahakama kuu jijini Abuja imetangaza kwamba ukahaba sio uhalifu nchini Nigeria. Uamuzi huo umejiri katika kesi iliyokuwa inashirikisha wanawake 16 waliokamatwa kwa kufanya ukahaba. Ni mara ya kwanza kwa mahakama ya Nigeria kuamuru kuhusu uhalali wa biashara hiyo ambayo inazidi kuonekana kuwa...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC wameona kitu cha maana cha kutuonyesha mubashara ni ufunguzi wa mahakama Chato na wala sio mkutano mkuu wa Chadema!

    Tunavyofahamu ni kuwa chombo cha habari cha TBC ni cha Watanzania wote na kinagharamiwa uendeshaji wake na kodi za wananchi wote, wana CCM na wana Chadema. Kwa hiyo ni wajibu wa Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba, kuangalia ni kitu gani kina umuhimu mkubwa kwa Taifa na kukionyesha mubashara bila...
  6. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo awachana Mbinga Vijijini na kuwapongeza Mbinga Mji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera. Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika. Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  8. rr4

    JamiiForums Tanzania Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

    Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea. Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inawezaje kuona ni sawa mtu kukaa mahabusu tangu Juni 2017 hadi Desemba 2019 na kuachiwa huru na Mahakama kuwa hana hatia?

    Watu wanasema suala la haki ya dhamana ni suala la katiba, hapana, mie napinga kwa nguvu zote kwamba hili ni suala serikali inapaswa kulishughulikia mara moja kwa sababu lina ukosefu mkubwa wa haki za binadamu na uonevu kwa wananchi. Suala la kuwa na makosa ambayo eti hayana dhamana ni uonevu...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Myanmar kutoa ushahidi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC

    Waziri Mkuu wa Myanmar Aung San Suu Kyi atatoa ushahidi leo katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu. Serikali ya nchi hiyo iliyo kusini mashariki mwa Asia inadaiwa kupanga mauaji ya halaiki ya Waislamu walio wachache nchini humo Warohingya. Mwaka 2017 maelfu ya Warohingya walikimbilia nchi...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICC yatakiwa kuingilia kati mauaji ya raia yanayoendelea DRC

    Kiongozi wa mashtaka katika Mahakama ya ICC Fatou Bansouda KINSHASA,CONGO MASHIRIKA ya kiraia nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC) na sehemu nyengine duniani, yanataka Ofisi ya mwendesha Mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, kuchunguza mauaji yanayoendelea Wilayani Beni...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia kuishtaki Tanzania kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya haki za binadamu Afrika

    Dar es Salaam. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamesema wanatafakari kuIshtaki Serikali ya Tanzania katika kamisheni ya Umoja wa Afrika kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika. Katika barua...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

    Tanzania imeondoa Art 34(6) kwenye sheria zake inayoruhusu mwananchi mmoja mmoja na NGO's kuishitaki kwenye mahakama ya Afrika. Je huu ni uoga au imeona inafanya makosa mengi. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ilianza rasmi shughuli zake huko Addis Ababa, Ethiopia mnamo Novemba...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Itifaki ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AFCHPR)

    Wataalamu wa sheria tunaomba uchambuzi wa kina tujue hii kitu na uhalisia wake katika kutekelezeka === PROTOCOL TO THE AFRICAN CHARTER ON HUMAN AND PEOPLES' RIGHTS ON THE ESTABLISHMENTOF AN AFRICAN COURT ON HUMAN AND PEOPLES' RIGHTS The Member States of the Organization of African Unity...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia mtu, NGOs kufungua kesi dhidi yake Mahakama ya Afrika

    Serikali ya Tanzania imeondoa haki ya mtu na asasi za kiraia (NGOs) kuweza kufungua mashtaka dhidi yake katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na za Mataifa, Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limegundua. Kuondolewa kwa haki hizi kutawanyang’anya watu na asasi...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Lissu afike Mahakamani Desemba 19

    Mh Hakimu anasema hataki siasa: "Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee". Ndugai: Sijui Lissu alipo, namvua ubunge Rais: Ametelekeza jimbo Hakimu: Sitaki siasa, aje kesi iendelee ==== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemwagiza...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Hakimu aviburuza Mahakamani Vyombo vya Mahakama vilivyomfuta kazi

    Aliyekuwa Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, Jonathan Ernest Mgongoro ameziburuza mahakamani, Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) na Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama (JOEC), kwa kumfuta kazi. Mgongoro, alifutwa kazi na Tume ya Utumishi wa Mahakama, Julai 17...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rushwa Mahakama Kinondoni , TAKUKURU wanyoosha mikono juu

    Mahakama ya Hakimu Wilaya na na hakimu Mkazi kinondoni imekuwa ikitajwa kwa rushwa za hali ya juu huku mbinu zitumiwazo zikiwazidi kete maafisa wa PCCB na TISS. Mahakama hiyo ambayo imeongezewa mahakimu wapya na sasa ina mahakimu 16 imekuwa kinara wa Rushwa Kwa Tanzania ikifuatiwa na...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana. Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime...
Back
Top Bottom