Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda...
Habari wanajamvi!
Kwanza nichukue furs a hii kuwapongeza viongozi wa CHADEMA kwa kuona mbali. Hawajataka kuwaelekeza wagombea Ubunge na udiwani wao wote kufungua mashitaka ya kuporwa ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu Wa 2020. Kwani wameona mbali. Ni kama wamemwachia Mungu.
Katika jambo...
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.
Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.
Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na...
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na baadae kuhamia CCM, Dkt. Mashinji amesema Tanzania ni nchi changa na haiitaji kuwa na mabadiliko ya haraka ghafla kwa sababu kila mabadiliko yana athari.
Amesema yakifanyika mabadiliko na yakaja na athari, bado Tanzania...
"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe
Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa...
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?
Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?
Maendeleo hayana vyama!
Tume ilitangaza ajira 195 mwezi wa Aprili na miongoni mwa nafasi zingine ikasema kuna nafasi wazi 114 za Hakimu Mkazi II, wenye sifa waombe. Watu wameomba na Tume ikaitikia kwa kuita waombaji 300+ mwezi Oktoba (kwa nafasi ya uhakimu). Wengi tukavutwa na uwiano huo wa ushindani (nafasi 1 watu 3)...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kama nchi ndogo za Rwanda na Burundi ambao ni jirani zetu walijitoa kutoka katika taasisi hii inayosemekana inafumbia macho uhalifu unaotendwa na mataifa ya Ulaya (Eurocentric), mpaka sasa Tanzania...
Wana-JF,
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita.
Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana-CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM...
CHADEMA nimeona mnalalamikia suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni.
Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama Kuu leo leo.
Mnyika fanya press conference haraka kuiambia dunia juu ya hujuma kwa Mawakala wenu.
Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam!
Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na...
Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako.
Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo ilikuwa imekufa kwa zaidi ya miaka 30. Kwa hiyo wewe kwa watu wa Arusha ni shujaa na jembe lao,maana sasa...
Nilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado.
Kumbuka unachoma nauli toka mkoani, unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka.
Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro.
Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI
Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati.
Mapema leo Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ameeleza kuwa mahakama hiyo...
Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba.
Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
=====
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia kesi mbili zinazokabili Mgombea Urais...
Kesi ilifunguliwa mahakama kuu kukataa wakurugenzi wa halmashauri ambao ni wateule wa Rais na baadhi yao wakiwa makada wa CCM kuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu. Mahakama kuu iliona kuwa hawana sifa ya kuwa wasimamizi. Mwanasheria mkuu wa serikali alikata rufaa kwa madai kuwa wanakula kiapo, hivyo...
Watu watano wamehukumiwa kifo kwa kumuua Dkt. Sengodo Mvungi
Ikumbukwe Sengodo Mvungi aliwahi kuwa
Mgombea wa Urais kupitia NCCR Mageuzi, pia mjumbe wa kamati ya katiba mpya maarufu kama tume ya Warioba.
Source TBConeline
===
Watu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na...
Taarifa iliyotolewa na Jaji Mkuu kwenye siku ya sheria inaonyesha kuna mrundikano wa kutisha wa kesi kwenye Mahakama zetu
Mahakama ya Rufani (Court of Appeal) ndiyo kwanza sasa inashughulikia kesi za mwaka 2016 na 2017. Hapo haijagusa kesi za mwaka 2018, 2019 na 2020.
Kwa speed hii inamkatisha...
Hii ndio habari iliyozagaa mitaa yote ya jimbo la Ubungo, kwamba yule mwamba wa siasa za Ubungo ambaye pia ni Meya mstaafu, yule aliyewekewa pingamizi la kizushi, leo anaanza rasmi amsha amsha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.