Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,232
Hii ndio taarifa iliyozagaa kwenye viunga vya mahakama leo , kwamba Mh Mbowe na wafungwa wengine wamewasilisha rufaa yao Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kinyama waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu , iliyowakamua shilingi za Kitanzania mil 350 .
Kazi imeanza upya .
My take : Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuchukua hatua hii ili kuweka kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo