Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Kesi ilifunguliwa mahakama kuu kukataa wakurugenzi wa halmashauri ambao ni wateule wa Rais na baadhi yao wakiwa makada wa CCM kuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu. Mahakama kuu iliona kuwa hawana sifa ya kuwa wasimamizi. Mwanasheria mkuu wa serikali alikata rufaa kwa madai kuwa wanakula kiapo, hivyo...
Watu watano wamehukumiwa kifo kwa kumuua Dkt. Sengodo Mvungi
Ikumbukwe Sengodo Mvungi aliwahi kuwa
Mgombea wa Urais kupitia NCCR Mageuzi, pia mjumbe wa kamati ya katiba mpya maarufu kama tume ya Warioba.
Source TBConeline
===
Watu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na...
Taarifa iliyotolewa na Jaji Mkuu kwenye siku ya sheria inaonyesha kuna mrundikano wa kutisha wa kesi kwenye Mahakama zetu
Mahakama ya Rufani (Court of Appeal) ndiyo kwanza sasa inashughulikia kesi za mwaka 2016 na 2017. Hapo haijagusa kesi za mwaka 2018, 2019 na 2020.
Kwa speed hii inamkatisha...
Hii ndio habari iliyozagaa mitaa yote ya jimbo la Ubungo, kwamba yule mwamba wa siasa za Ubungo ambaye pia ni Meya mstaafu, yule aliyewekewa pingamizi la kizushi, leo anaanza rasmi amsha amsha.
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo na ameachiwa kwa dhamana
Kubenea alikamatwa Septemba 07, 2020 na kutuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utakatishaji fedha, kukiuka Sheria za kuvuka mpaka kwenda Kenya na kurejea nchini kwa kutumia njia...
Patrice Lumumba aliuawa 1961
Mahakama mjini Ubelgiji imeamuru kwamba jino lililochukuliwa kutoka kwa maiti ya shujaa wa Uhuru wa taifa la DRC wakati huo ikiitwa Congo Patrice Lumumba linapaswa kurejeshwa kwa familia yao, vyombo vya habari nchini Ubelgiji vimeripoti.
Lumumba aliyekuwa waziri...
Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE)
Petra Diamonds Limited
("Petra" or the "Company")
Statement regarding allegations of human rights abuses
at the Williamson Mine in Tanzania
Petra Diamonds Limited states that a UK-based law firm, Leigh...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za wizi baada ya kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na kuiba vitu mbalimbali vya ofisi hiyo ikiwemo Laptop tatu (3) na Sukari kiasi cha Kg 25, waliokamatwa yupo aliyeiba na mwingine aliyeenda kuuziwa Laptop hizo.
Taarifa...
Marekani imewawekea vikwazo waendesha mashitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku kadhaa baada ya mahakama hiyo kuidhinisha uchunguzi kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita unaodaiwa kutekelezwa na Marekani nchini Afghanistan.
WALE MASHABIKI WA USA NA WASHIRIKA WAKE, NA KUAMINI KUWA...
Kampuni ya African Barrick Gold ilikata rufaa dhidi ya Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) baada ya Barrick kutakiwa kulipa kodi ya Dola za Kimarekani Millioni 41,250,426 sawa na zaidi ya Bilioni 95 za Kitanzania
Hii ni rufaa ya 3 iliyokatwa na Barrick ambapo Kampuni hiyo inashindwa kupata ushindi...
Amani iwe nanyi wana Tanzania!
Moderators naomba msiunganishe wala kufuta huu uzi! Maana ni wa kipekee
Leo nimemsikia Jaji Mkuu akiongea na majaji na mahakimu huko Morogoro. Kilichonishangaza ni maneno aliyosema Eti wajaji na Mahakimu hasa kwenye kutoa haki wawe makini ili mahakama isionekane...
Akizungumza kwenye kikao cha kutoa elimu ya namna ya kushughulikia kesi za uchaguzi kwa majaji na mahakimu, JM Prof Juma amewataka watendaji hao kutoa haki kwa wakati.
Profesa Juma amesema mahakama inapaswa kutoa haki ili isionekane kama tawi linaloweza kutumiwa na Wanasiasa.
Semina hiyo...
Serikali imeshinda rufaa dhidi ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kupinga wakurugenzi Kusimamia uchaguzi.
Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
Sijui kama tumebaini TCRA wanachukua jukumu la mahakama na kujitwisha wao.
Wamejitungia kanuni za wao kutuhumu, kusikiliza na kuhukumu kitu ambacho siyo haki. Uwezi nituhumu then ukajakusema nimekushinda kwa hoja lazima utaonesha nimeshindwa
Hiki wanachofanya cha kutafsiri hadi Sheria zisizo...
Nikiwa Kama Mtanzania, naomba kutoa ombi na ushauri wangu kwako Jaji Mkuu wa Tanzania. Mahakama Ni Taasisi takatifu mahali popote Duniani. Kuna habari zinaandikwa humu mitandaoni kuwa Kuna njama kutoka watu wa CCM kumhujumu Lissu akiwa mahakamani ili asifaulu kuendelea na harakati zake za...
Mgombea urais wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu amesema atahudhuria mahakama ya Kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya Uchaguzi.
Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi (open case) hivyo amewaomba Wanachama wa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Pamoja na yote kwa hali ya amani inayoendelea kuwapo, itakuwa ni kukosa uelewa kutompa pongezi binafsi afande IGP Simon Sirro. Hii zaidi ikiwa kwa jinsi alivyo lidhibiti jeshi la polisi vilivyo tangia kuwasili kwa bwana Tundu Lissu...
Jaji mkuu Profesa Ibrahim Juma amesema ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama na Mahakimu kujiunga na Chama cha Siasa.
Profesa Ibrahim Juma amesema watumishi hao wa Mahakama wanabaki na haki moja tu ya kupiga kura waliyopewa katika Ibara namba 5 ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi, Septemba 14, mwaka huu, baada ya jana kushindwa kufika kusikiliza kesi yake.
Amri hiyo ilitolewa jana na mahakama hiyo...
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.