Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,668
- 119,281
Wanabodi,
Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu.
Angalizo kuhusu paraphrasing.
Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi .
Huu ni ushauri kwa rais Magufuli, uliotolewa na mwana jf mwandamizi Mkuu Mzee Mwanakijiji kwenye mada yake
https://www.jamiiforums.com/threads/tunaomuunga-mkono-magufuli-hatufurahishwi-na-hizi-distractions.1204689/page-9
ameshauri
1. Serikali kujigongelea misumari.
2. Kama anaona kazi hii ni ngumu ajiuzulu sii lazima yeye tuu ndio awe rais
3. Serikali kuzunguka zunguka kwenye mambo ambayo sio ya msingi
4. Ushauri (a) kuheshimu uhuru wa mahakama kwa gharama zote.
5. Viongozi wasiotii mahakama watumbuliwe.
6. Kuheshimu demokrasia na utawala wa demokrasia.
Kama mtu kama Mzee Mwanakijiji ambaye ni supporter mkubwa wa Magufuli kwa kuizingatia ile kampeni kubwa aliyompigia humu ile 2015 baada ya mungu wake kujitoa Chadema na jinsi alivyombomoa yule "Jamaal yetu" hivyo kwa ushauri kama huu kutoka kwa Mwanakijiji kwenda kwa Magufuli, as times go by, kuna uwezekano kabisa huu ukweli wa bandiko langu hilo ukazidi kujidhihirisha. Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma
Kwa ushauri kama huu, yule Mkuu Mzee Mwanakijiji is now back on track, sasa amerejea yule Mwanakijiji tuliyemzoea sisi wengine tulipojiunga JF. Mwanakijiji the critical na sio yule Mwanakijiji fagilia.
Swali ni jee kwa hapa rais Magufuli alipotufikisha huu ukiwa ni mwaka mmoja tuu, jee kuna dalili zozote za Magufuli kuonyesha urais umemshinda au bado ni mapema mno?.
Paskali.

Nimeipenda hiiNa. M. M. MwanakijijiSielewi kwanini serikali inapojaribu kusimamia mabadiliko na nidhamu katika utumishi wa umma inajigongelea misumari yenyewe.
"Kama Magufuli anaona kuwa kazi hii ni ngumu sana kwake kuifanya nina ushauri kwa Rais akajiuzulu. Si LAZIMA awe Rais".
Hivyo basi, ushauri wangu ni kuwa Serikali ikae chini na kujiuliza kwanini inazunguka zunguka kwenye mambo yasiyo na msingi badala ya kuonesha mambo makubwa yanayofanywa au yanayopangwa kufanywa?
Magufului ni lazima ahakikishe mambo yafuatayo nayatokea:
a. Kuheshimu mahakama kwa gharama zote - demokrasia na utawala wa demokrasia vinasimama au kuanguka na uhuru wa mahakama. Kama kuna viongozi wanaitwa mahakamani ni LAZIMA watii! Na binafsi hilo peke yake ni sababu tosha ya kumfukuza mtu kazi kwa kutokutii mahakama. Na Rais mwenyewe aepuke kwa nguvu zake zote undue influence ya mahakama.