kibokomchapaji
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 165
- 307
BW. BERNARD KONGA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MFUKO HUO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LEO DESEMBA 12, 2019*
NHIF imetumia jumla ya Shilingi Bilioni 13.7 katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwezesha ukarabati na ununuzi wa vifaa vya matibabu kama MRI, CT SCAN na uanzishwaji wa viwanda vidogo vya kuzalisha maji na gesi
Baadhi ya Hospitali zilizonufaika ni Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bugando, KCMC, MOI, Ocean Road na Hospitali ya Rufaa Mbeya
NHIF imetoa fedha kuwezesha uwekezaji wa awamu ya pili katika Hospitali ya Benjamin Mkapa na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa kuwezesha huduma za kibingwa kama upandikizaji figo
Shilingi Bilioni 32.10 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi na Bilioni 43.12 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma
Uwekezaji wa majengo pacha ya MOI umesaidia kuongeza uwezo wa kulaza wagonjwa na kuboresha huduma za Kibingwa
Majengo mengine yaliyojengwa kwa uwekezaji wa NHIF ni Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, Hospitali ya Rufaa Dodoma, Hospitali ya Rufaa Bugando na KCMC.
Wanachama wa NHIF wanapata huduma katika vituo 7,606 nchi nzima vikiwemo vya Serikali na Binafsi kwa ngazi zote ikilinganishwa na vituo 6,185 vya mwaka 2014/2015 ,Ongezeko hili ni sawa na vituo 1,421 kwa kipindi cha miaka minne.
Katika kipindi cha miaka minne, NHIF imelipa jumla ya shilingi trilioni 1,283,109,701,067 kwa vituo vyote vinavyohudumia wanachama wake nchini
Mwaka 2018/2019 Mfuko umelipa kiasi cha Shilingi Bilioni 444.1 ambayo ni ongezeko la asilimia 64 ikilinganishwa na malipo yaliyofanyika mwaka 2014/2015 ya shilingi bilioni 157.9
Jumla ya Shilingi Bilioni 43.12 zilitolewa kwa ajili ya vifaa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa
Mradi wa Tumaini la Mama ulilenga kuwapatia wanawake wajawazito bima ya Afya na umewanufaisha jumla ya akina mama 1,044,000.
Katika kipindi cha miaka minne mradi huu umewanufaisha akina mama 796,404 sawa na ongezeko la la asilimia 76 kutoka wanufaika 247,596 wa mwaka 2014/2015
Mradi wa Tumaini la mama umesaidia kupunguza vifo vya uzazi, umewezesha wakina mama kujifungulia Hospitali
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na NHIF imesaini mkataba wa awamu ya tatu na KfW wenye thamani ya EURO milioni 13 sawa na Shilingi Bilioni 32.7 na utekelezaji utakamilika mwaka 2020.
NHIF imethibitishwa kwa utoaji wa huduma bora kwa viwango vya kimataifa na kukabidhiwa cheti cha ubora (ISO 9001:2015) mwaka 2018.
Ndani ya kipindi cha miaka minne ya Awamu ya Tano, mfuko umeimarisha mawasiliano na wanachama na wadau wake kwa kuanzisha Kituo cha Huduma kwa Wateja
Watumishi wa umma ambao mpaka sasa takribani asilimia 99 ni wanachama wa NHIF, Watumishi wa Sekta binafsi
Mfuko unahudumia wanachama 966,792 swa na wanufaika 4,025,693 ikilinganishwa na idadi ya wanufaika 3,237,434k kwa mwaka 2014/15 sawa na ongezeko la asilimia 20.