Rais Magufuli amebadilka sana hasa katika siku za karibuni.Nimepata angalau wasaa wa kuangalia akishiriki shughuli mbalimbali na naona kuna unyenyekevu fulani ambao haukuwepo mwanzoni.
Namsikiliza akitambua uwepo wa viongozi wengine,nimemuangalia body language na tone akitamka "Mheshimiwa ...."...
“Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati...
Ndugu wana bodi
Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru .
Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.
Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na...
Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa.
Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.
Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
KILICHOMPONZA MAKONDA NDICHO KINGEMPONZA MAGUFULI.
Na, Robert Heriel
Licha ya kuwa watu hawa kwa sehemu kubwa nawakubali na kuwapigia chapuo, lakini kamwe sitoacha kusema ukweli kuwa kinachowaponza ni kitu kimoja, ambacho kinafanya wasikubalike kwa wengi.
Makonda ni kijana mchapakazi...
KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI
Na, Robert Heriel
Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
Leo baada ya kuapisha viongozi mbalimbali Ikulu ya Chamwino Dodoma, Dr. Magufuli alitamka kuwa Corona imeshapotea na kuongeza kuwa "tuko salama". Kuna ukweli gani juu ya madai haya?
Swali langu ni je tunajuaje tuko salama wakati hatujui hali halisi na serikali haijatoa takwimu rasmi za...
Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.
Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na...
Rais Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Viongozi Wateule watakaoapishwa Chamwino Dodoma
1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
2. Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu...
Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni
Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao.
Chanzo: ITV...
Rais Magufuli leo July 19,2020 amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya July 17,2020 ambapo amemteua aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Marwa Mwita kuwa RC Njombe, Mwita ameteuliwa badala ya Jumanne Fhika ambaye atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.
Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.
Chanzo: EATV
Tumeshuhudia katika kipindi kisichozidi wiki moja, Rais Magufuli akifanya teuzi na tengua, za nafasi zaidi ya mia moja, katika nafasi zake za uteuzi, kama vile maRC, maDC, maDAS, maDED nk.
Kitu ninachoweza ita imeleta sintofahamu kubwa yote hiyo na kuweza kuiita ni "vurugu mechi" za teua na...
Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa RC wa Njombe akichukua nafasi ya Christopher ole Sendeka. Kabla ya kuteuliwa Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais.
Dkt. Aloyce Nzuki ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili. Kabla ya uteuzi huo, alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.