magufuli

  1. The Palm Tree

    CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

    Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania.... Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote.... Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
  2. S

    GE2020 Hivi Rais Magufuli atapiga tena push up kwenye kampeni kuonesha anafaa kuwa Rais?

    Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zilikuja na vituko vyake. Moja ya vituko hivyo lilikuwa ni kitendo cha Magufuli kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa alifaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa kuwa aliweza hata kupiga push up. Kuna watu walishangalia kitendo hicho, na huenda kuna watu walimpigia...
  3. Dam55

    Mambo (10) kumi usiyo yajua kuhusu Rais John Pombe Magufuli

    NA MILADY AYO MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI. 1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani. 2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani...
  4. K

    CCM wazalendo, mwambieni Rais Magufuli arekebishe haya mapungufu

    Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa. Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM. Kwanza mtangulize nia njema na muwe...
  5. GeoMex

    Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Rufiji aliyemdanganya Rais atupwa Lupango

    Napenda kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kugundua kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Brighton Kilimba alitoa taarifa za uongo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Magufuli kuwa gari ya wagonjwa ya Kituo cha Afya Ikwiriri haiwezi...
  6. Troll JF

    IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam 🇻🇳

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
  7. Pascal Mayalla

    Uhuru Kenyatta jirani mwema, atupenda Watanzania, amkubali sana JPM. Asisitiza upendo, umoja na ushirikiano kati Wakenya na Watanzania tujenge EAC 1

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa. Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua...
  8. GENTAMYCINE

    Kama Rais Kagame ni Shabiki wa Arsenal FC unadhani Rais Magufuli nje ya kuwa Mwana Simba SC huko Ulaya atakuwa ni Shabiki wa Timu gani?

    Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!! paulkagame
  9. A

    Rais Magufuli ni lazima atetewe kwa nguvu zote dhidi ya udhalimu wowote

    Ninawasalimu ndugu zangu, Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais...
  10. Nyani Ngabu

    Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

    Hiki ni kipande cha ripoti ya Sky News, moja ya shirika la habari la binafsi huko Uingereza. Ni kipande kilichorushwa tarehe 8 mwezi Juni mwaka huu. Ni kipande kinachozungumzia jinsi ambavyo Rais Magufuli na serikali yake ilivyoamua kukabiliana na huo ugonjwa wa Coronavirus. Ni karibu miezi...
  11. The Boss

    Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

    Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania. Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba. Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa.
  12. GENTAMYCINE

    GE2020 Watanzania milioni 29,188,347 kuwahukumu akina Magufuli (CCM), Lissu (CHADEMA) na Membe (ACT-Wazalendo) Oktoba 28, 2020

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347. Nipashe. Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
  13. N

    Rais Magufuli na Waziri Kamwelwe fanyeni haya juu ya zuio la ndege za Tanzania kwenda Kenya

    Nawapongeza kwa hatua zilizochukuliwa za kuzuia ndege za Kenya kutua nchini. Sitaki kuwachosha na maneno mengi, ila nimeona mazungumzo yameanza kurejesha safari, mimi nina wazo hili. Kwa kuwa kenya wameanzisha utaratibu wa kutubeep, tukiwapigia wanaomba tuongee tuyamalize, mimi nashauri ili...
  14. S

    Kwa miaka 5 Magufuli ameshindwa kuuvaa urais.

    Ukifuatilia hotuba za JPM kiukweli hazina mpangilio na zinakosa mvuto kabisa. Nime- miss rais anayetoa hotuba zenye hadhi na uzito wa urais. Siku hizi sioni tena watu wakipapatika kumsikiliza rais. Badala yake watu wamekuwa wakiulizana "kuna boko gani limetolewa leo?" Hii ndiyo kusema kuna...
  15. J

    Safari ya Rais Magufuli kwa barabara yawatumbua mameneja wa TANROADS Lindi na Pwani

    Waziri wa ujenzi mh Kamwele amewaondoa madarakani mameneja wa Tanroads wa mikoa ya Lindi na Pwani kufuatia kushindwa kuifanyia matengenezo barabara ya Dar hadi Mtwara. Maamuzi hayo ya mh Kamwelwe yanafuatia maagizo yaliyotolewa jana na Rais Magufuli ya kutaka hatua zichukuliwe kutikana na ubovu...
  16. Tabutupu

    Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  17. G Sam

    Kwa matamshi aliyotoa akiwa Kilosa na Kilwa, Rais Magufuli anaweza kutoa kauli zitakazoiletea nchi matatizo makubwa wakati wa kampeni

    Kwa sasa sina shaka kabisa kuwa Rais Magufuli kila akizungumza mara nyingi ni lazima aache upepo mbaya wa kauli za maudhi kwenye jamii. Hilo sasa halina tena mjadala. Sasa kwa muda huu Rais Magufuli anazungumza hayo akiwa peke yake na hakuna majibizano ya dhahiri kutoka upande wa pili...
  18. vulcan

    Uongozi wa Magufuli - GDP

    Magufuli ameirudisha nyuma Tanzania... Tazama... Here's a breakdown of the comparative GDP figures 2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B) 2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B) 2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B) 2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)...
  19. Troll JF

    IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

    Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa Rais Magufuli leo amesikiliza kero za Wananchi katika Wilaya hiyo akiwa njiani kutoka Mtwara ambapo...
  20. mwanamwana

    Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

    Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza...
Back
Top Bottom